KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,902
- 9,323
Mzee wa liddabokibini soo limemwangukia du CC Asprin CC Nivea niambe ulifata nini kwa huyo bazazi?? ila kiufupi mimi niliendesha operation kimbunga vizuri nikiwa na Mzee wa lula wahamihaji haramu tumewapeleka kwao ila wasi wasi ni juu ya Mtambuzi kuwa na uhuziano wa karibu na PK sasa hapo inanitiashaka kma alitumwa na TG au yeye mwenyewe kama independent mediator ? halafu gfsonwin yawezekana maana nisiku nyingi sijamtia jichoni kumbe kupotea kwake ni mipango mahususi ya westgate!Ila asubiri Ukinyatta atamtilia timu hivi karibuni na wewe babav yakupasa vitu vingine kuviweka undercapet maana ni vizito!!jamo gazeti lako ni la zamani a.k.a motomoto nalikumbuka enzi hizo likichuana na mfanyakazi na sijui lilifiaga wapi!!
Last edited by a moderator: