Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,716
Balaa lake, akiingia kwa chumba lazima huduma hii ihusike.. ODM Asprin kama siyo yeye jamani, hebu mcheki..
Asalaleeee....huyu mzee kwisha habari yake..........
Balaa lake, akiingia kwa chumba lazima huduma hii ihusike.. ODM Asprin kama siyo yeye jamani, hebu mcheki..
watu8 mkeo asije kufa kwa presha bure....ngoja niendelee kuuweka Kapuni.....Hebu uweke tuuone teh teh
Niko poa best, nilienda Sobibor nikapotea..
Lile dili nilisakiziwa kutokana na juhudi zangu katika kupiga vita rushwa na madawa ya kulevya SIRIKALINI..
kWANI WE UMESTAAFU SIKU HIZI!!!!
7. ODM babu Asprin KWIIISHA habari yake..Yasemekana nguvu za TEMEKE sasa ni tia maji tia maji... Yadaiwa ndo kisa cha kuchezewa sharubu na vibinti. Adaiwa hataki kabisa kuskia neno "UKAGUZI" Mchakato wa kumtangaza "mstaafu" kuanza mwezi ujao, Nani atamrithi bado kitendawili....
Ndugu mwenyekiti, Mhariri wa Gazeti. Nahisi kama umepewa HONGO kama si RUSHWA.
Ina maana ile SKENDO ya LiverpoolFC na kaundime imetupiwa kapuni????.
Mzee.
Nakupenda pia mke wangu!
Twende tukaoge tujiandae kwenda kazini love