unamfahamu mtu anaitwa Mrs Michelle Hashycool?(jina halisi Ray C), Nasikia mchana huu kafumaniwa na mmewe tandale uzuri akitoka gesti inaitwa mtakuja,kidogo Hashy amcharange mapanga.Hahaha mmenipunguzia machungu ya msiba aisee,hili gazeti ni noumer
Dudu,Kaba keshadakwa na manjata yuko central,kesho anapelekwa kisutu,tuhuma za ufataki.Hatimae kabakabana apate Mwenza mpya ni kitoto cha shule ya wenye utindio wa akili ya uhuru... Mwenyewe ajidai kuwa anamlea! wazazi wa kijawa waja juu... hao wazazi kumbe ni Husninyo na Balantala
nimeshamtuma Michelle akafanye ile kitu inaitwa investigative journalism.Inabdi mwandishi wetu ulichunguze hili ili uje na habari kamili
nimeshamtuma Michelle akafanye ile kitu inaitwa investigative journalism.
nyaningabu mwoga wa mike,mike kampa Lizzy amsaidie kuongea.habari zilizotufikia sasa jiji la jamii forum limevamiwa na al shababy wakiongozwa na Rejao, risasi zinalindima tu naona kongosho anamtafuta bishanga hamuoni, wananchi wa hapa jamii forum wametaharuki, kwa sasa kamati ya ulinzi inayoongozwa na Nyani Ngabu inakutana kwa sasa, mda si mrefu raisi atawahutubia wananchi
kongosho umesikia umbea huo? Unaonaje tumtafute Hashy tumpatie nyeti za Michelle?
mbona intelegensia niliyonayo inasema ni mimba ya Rejao?
nyaningabu mwoga wa mike,mike kampa Lizzy amsaidie kuongea.
@michelle, nimecheka sana tuhuma zako
na nna hasira za kufa mtu.
Anyway, acha niendelee kuripoti habari.
michelle amfanyia kongosho shambulio la aibu, amtukama ma.tu.si ya ngozini.
Habari kamili UK wa 3
Hashy hajambo?
mbona intelegensia niliyonayo inasema ni mimba ya Rejao?
Hatimae kabakabana apate Mwenza mpya ni kitoto cha shule ya wenye utindio wa akili ya uhuru... Mwenyewe ajidai kuwa anamlea! wazazi wa kijawa waja juu... hao wazazi kumbe ni Husninyo na Balantala
unamfahamu mtu anaitwa Mrs Michelle Hashycool?(jina halisi Ray C), Nasikia mchana huu kafumaniwa na mmewe tandale uzuri akitoka gesti inaitwa mtakuja,kidogo Hashy amcharange mapanga.
unamfahamu mtu anaitwa Mrs Michelle Hashycool?(jina halisi Ray C), Nasikia mchana huu kafumaniwa na mmewe tandale uzuri akitoka gesti inaitwa mtakuja,kidogo Hashy amcharange mapanga.
Dudu,Kaba keshadakwa na manjata yuko central,kesho anapelekwa kisutu,tuhuma za ufataki.
halafu hashy kapotea kweli ndo machungu ya kufumania ama?
Yawezekana,manake si mara ya kwanza na haitakuwa ya mwisho...lol
Dearest hii ni kazi ya Bishanga ehhh?