JF Tumempata Deo Kisandu mpya

Status
Not open for further replies.
Wala siyo P attack mi nataka usaidiwe. Tumeona watu kama wewe. Huja wakajidai na mwishowe, wakasahauliwa.
Huna uwezo wa kunisaidie
Mimi unitukane, utukane wazazi wangu, unidhihaki kamwe siwezi kasirika sababu najua akili zenu watanzania

Fungua hata nyuzi mia 100 za kunidhihaki ila kamwe siwezi kasirika yaani unadhani kwa kufanya hivyo unanikokoa pole sana
 
Kwa sasa kajirekebisha anatema madini tu, sio kama mwanzo dish lilikuwa "no signal" mara aseme hakuna sayari, mercury na venus ni nyota.
Mara ataleta ozone Tanzania, dunia nzima hakuna anaemzidi akili.
 
Kwa sasa kajirekebisha anatema madini tu, sio kama mwanzo dish lilikuwa "no signal" mara aseme hakuna sayari, mercury na venus ni nyota.
Mara ataleta ozone Tanzania, dunia nzima hakuna anaemzidi akili.
Msimamo wangu wa sayari na universe ni uleule na nilichongea ni ukweli
 
Kuna rais wa nchi,rais wa kitaa na Marais wengi tu

Ila huyu mwamba ni rais wa JF/JA

Cc dosho12 Dr am 4 real PhD Castle_Lite
Tupo nyuma yake Raisi wetu sisi tutamtetea popote alipo sisi tupo Raisi MWENYE INTEGRITY KUBWA Sana Sanaa hatuna kama yeye uchumi unapaa.. multiplier effect inaenda kuongezeka maradufu sekta za kimkakati kama gesi, umeme, maji na miundombinu muhimu pia alisema HUDUMA ZA INTERNET zitakua nafuu mnooo

#Roberts anatosha
#Roberts for president
#Roberts tuvushee
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…