Kweli Asprin naona Zamaulid yupo anafanya sala ya nguvu ili na yeye apate bahati,ila sasa Asprin chunga sana Madame B yani unamwita Madame B Eti nanilii,halafu wahi kabisa hapo vero inn tegeta Kabla mshana jr ajatia timu na kufanya uwakilishi wa nguvu.
Tehe tehe tehe tehe tehe tehe tehe, mshana jr ka vipi we kawakilishe tu, Asprin hana shida,weekend imekuwa ya bahti kwa upande wake.
Ameniomba nimwakilishe yeye kapata dharura
Hahahahahah.....watu mnapenda free P eeeeeee.
Haya njoo room no. 24
Uje ukiwa umeshavaa zana 'kidoleni'
Niko Vero Inn Tegeta Kibaoni....njoo maana chumba niko peke yangu, usiku mrefu