Jf TRUISM DAY 1/4/2015

Mie kiukweli naomba babu Asprin anioe na mie nitulie kwangu😀
 
Last edited by a moderator:
Sawa sawa HARUFU ,pia nadhani watu wengi wanapenda kutazama aina ya UZI ULIVYO NA JUKWAA Kwa kuwa wanafuata aina fulani ya mambo yanayovutia.
Jukwaa kama kama JUKWAA LA SIASA unaweza kupata wachangiaji wengi sababa ya wengi kuvutiwa na siasa.
Kwa mfano ukitaka kupata wachangiaji wengi ktk uzi wako,basi jaribu kumponda mtu flani ktk uzi wako,hapo utajua kweli wachangiaji wapo.
MUHIMU KULIKO YOTE NI KUFIKISHA MAWAZO.
 
Last edited by a moderator:
Kufikisha mawazo hilo ndio neno.

Umenena
 
Honey Faith ,hongera kwa kufunguka nadhani Asprin amekusikia.
i wish you all the best , lakini ushamwambia hilo ?
 
Last edited by a moderator:
Eti umesemaje???

Hakyamama hebu muulize kwa kiinglish

Dogo tulia ukue....:welcome::welcome:

Asprin ndo kwamba uamini ulichosikia au ?
Lakini zamu yako ya kujieleza imefika,na wewe funguka kidogo.
 
Last edited by a moderator:
tehe tehe tehe tehe tehe tehe mshana jr mi ka vile nahisi unajipanga kuja kujieleza,au siyo ?

Ugomvi wake yule babu wee acha tu na hivyo kibinti kibichi kimemtangazia ofa ya ndoa wee acha tu
 
Last edited by a moderator:
Ugomvi wake yule babu wee acha tu na hivyo kibinti kibichi kimemtangazia ofa ya ndoa wee acha tu

mshana jr ,umeshasahau ng'ombe hazeeki maini na mtu mzima dawa.
Hiyo ndio JF TRUISM DAY kama vipi mshana jr na wewe jiachie,mwenzako Asprin kafikishiwa ujumbe,tehe tehe tehe tehe tehe tehe jamaa hadi sa hivi anaona ka vile yupo ndotoni.
 
Last edited by a moderator:
tehe tehe tehe tehe tehe kwa kwa kwa kwa kwa kwa Zamaulid ka vipi tangaza tu nia na wewe,unaweza kukuta kuna bahati kama ya Asprin lakini muhusika anaogopa kufunguka.

Mpaka sasa naongoza moja bila. Hakyamama mi nna zali kama la Edoboy Lowasaman.
 
Last edited by a moderator:
Asante mpendwa nami nakupenda sana.

Asprin sitaki umbea......:fencing: :msela:
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…