Ukijumlisha IDs zangu zote sikamatiki kabisa. Ninazidi posts 60,000:smile-big:
Ukijumlisha IDs zangu zote sikamatiki kabisa. Ninazidi posts 60,000:smile-big:
Ukijumlisha IDs zangu zote sikamatiki kabisa. Ninazidi posts 60,000:smile-big:
Huwa nina post nini?
Ukijumlisha IDs zangu zote sikamatiki kabisa. Ninazidi posts 60,000:smile-big:
Hii ndio JF annual Rich list? lol...
kama Forbes hivi.......lol...
Naomba nikurekebishe kidogo..... Kuna watu huwa wanaandika.... NAPITA TU..... au Mhnnn..... hizo nazo umezihesabu... We ungeenda mbali zaidi kwa kuangalia nani ameweka posti nyingi zenye LIKE
Hapo patamu.... halafu nami najirekebisha kidogo... Kunatakiwa utafutwe uwiano (Kwa asilimia) kati ya idadi ya posti za mtu (jumla) na posti zenye like.... Usije uka una like 200 kati ya post 2000 (10%), na mimi nina like 200 kati ya post 1000 (20%)hata like kama uzi za ruta au kongosho au asha d huwa wana like kila komment za wachangiaji na hapo je..
muianzisha mada ungeweka orodha ya kila kitu basi
top ten ya waliopewa likes
top ten ya waliotoa likes
top ten ya most viewed threads
top ten ya most contributed threads
top ten ya most visited profiles
top ten ya most popular threads
top ten ya most members with so many started threads
etc etc..