JF Tanga Wing wakutana

hahahaha hapana sipati mlisho nyuma sijui mnakuwa wapi
cc PakaJimmy Mungi
Blaki Womani, unakumbuka cku ile nmekuambia kwmb tunakuja kiwanja chako kipya, ulitukaukiaje jioni ile! Hadi tukabadili mawazo.
Kama uko siriaz hebu tukaribishe tena siku ya WHITE PARTY , ili na sisi tuendelee huku.
Ya kwetu itaitwa TANZANITE PARTY.
 
Last edited by a moderator:

mliniweka kwenye reject calls......................umenena mkuu sema tuanze mchakato
 

Mkuu PakaJimmy ilikuaje siku ile nilisubiri simu hadi usiku wa manane bila mafanikio.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…