Na wewe unataka kufikishwa kileleni??
Swali langu ni kuwa m-babu mzee kama wewe bado unaweza kufika kileleni mkuu BABU DC?
Darling..... Unamwambia nini mtoto wetu?? Teh teh!!
Hivi mi nitaweza kweli kupanda mlima???
Nawatakia kila la kheri, kaupandeni salama!
Btw itakua ngumu mpande na wake za wenyewe!
Kwani tunawafikisha vileleni vile tupendavyo.
Swali langu ni kuwa m-babu mzee kama wewe bado unaweza kufika kileleni mkuu BABU DC?
Nawatakia kila la kheri, kaupandeni salama!
Btw itakua ngumu mpande na wake za wenyewe!
Kwani tunawafikisha vileleni vile tupendavyo.
Hivi mi nitaweza kweli kupanda mlima???
Wewe yule mkeo ulokuwa unalalamika kuwa alimkatia jamaa mwingine mauno kuzidi anavyokunyongeaga wewe . . . hajambo??
Kilele kipi unachokizungumzia mkuu....KIBO au MAWENZI?
Mkuu na wewe ni wa Tanga..?
Nimekuelewa shemejiVyote! Chini ya chandarua!
Mimi makazi yangu ni Dar lakini nipo Tanga kwa miaka miwili sasa !