Jf-tanga wing, jiandae kupanda mlima kilimanjaro!

Jf-tanga wing, jiandae kupanda mlima kilimanjaro!

MAKOLE

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2012
Posts
620
Reaction score
282
Bandugu wa JF Tanga Wing naomba muunge mkono wazo la kwenda kupanda mlima Kilimanjaro kwa pamoja. Naomba wahusika mtoe hoja za kuunga mkono ama kupinga hoja hii ama muongozo wa namna ya kuchangia safari.

Regards, Makole. Jf Tanga Wing.
 
Ni wazo zuri sana ndugu yangu...

Tutalifanyia kazi...

Babu DC!!
 
Babu mimi ni yule kitukuu wako mtiifu na uliyemwamini kabla hata mwalimu hajatoka madarakani! Nilikuambia vile kwa taahadhari just in case!

Uendelee kuwa na adabu na usimkosee heshima Babu hata siku moja....

Haya kalale, umesamehewa...lol!!

Babu DC!!
 
Duuuuuh ! Sijuie niendeee....??

Mie naomba kabla ya kufikia muafaka lini tukapande mlima kwanza tukutane na kuliongelea hili swala na issue ya muda kwenye kibarua husika ni sensitive sanaa..
 
Duuuuuh ! Sijuie niendeee....??

Mie naomba kabla ya kufikia muafaka lini tukapande mlima kwanza tukutane na kuliongelea hili swala na issue ya muda kwenye kibarua husika ni sensitive sanaa..

Mkuu na wewe ni wa Tanga..?
 
Back
Top Bottom