Jf-tanga wing, jiandae kupanda mlima kilimanjaro!

Jf-tanga wing, jiandae kupanda mlima kilimanjaro!

Ahaaaaaaa...so dolali hazikupigi chenga eti?

Hahah hiyo makaratasi hainipigi chenga arifu...mimi kutwa kuwabeba wasiojiweza ili mradi wakione hicho kilele!!
Wakizidiwa sana basi huwa nawashusha haraka chini...
 
Tumboni wapi mbona sijakuelewa?

Heheh ndo ukomege kuedit post za wenzio bila kuelewa.
Mi nimemtaja Arabela kuwa ndiye niliyemuachia kila kitu tumboni, sasa wewe na kiherehere chako ukaedit ukaweka jina lako. it means na wewe nilikuacha tumboni!
 
Last edited by a moderator:
Haya mekuelewa bhana. Vp Arusha? Nikija nije na mablangeti mangapi na majacket mangapi?

Usije na chochote, Mie nipo. Ila usisahau kuja na Mwalimu maana PakaJimmy ameanza kumuota mchana!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom