Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,682
Afu wewee?
Mgonjwa gani una mikumbukumbu ya story za mwaka juzi ?
Hiyo story mlalamikaji sikua mie, mi nilimsemea my swaiba.
Nway umenafuunika kugonjweka? Basi na wewe hata mornin sickness mpaka nasie tujue!
Scoarer tu si angetosha?
Kwani niliugua ugonjwa wa akili?
heheh we zuga tu!
Mie nimeshanafuuka looooooongiii.
Hayo mengine yako wewe na akili yako ya kinanihii nanihiii.