trachomatis
JF-Expert Member
- Jun 7, 2011
- 3,758
- 746
- Thread starter
-
- #21
Nenda Nyumbani Motel kuna live band na mazagazaga!
Nenda Nyumbani Motel kuna live band na mazagazaga!
Duuh DSM wa2 macho yote kwenye huo mpango wa mabasi yaendayo kasi.Naona shughuli zinaendelea tu mkuu kapistrano ,mara mara magari na bajaji viangukiwe na ukuta,kero tupu.
Wakiwa wamepewa wajukuu wa Mao pia sitashangaa mkuu..
Na nani??
Umkumbushe kupiga hodi kwa Mwenyekiti na katibu wake lakini...sawa mpendwa??
Babu DC!!
Nyinda ndipo wanapopokelewa wakuja ukitoka hapo unakaribishwa supu ya pweza
Duuh DSM wa2 macho yote kwenye huo mpango wa mabasi yaendayo kasi.
Duuh DSM wa2 macho yote kwenye huo mpango wa mabasi yaendayo kasi.
Thafari njema....
hakuna sehemu nyingine tanga inaitwa nyinda.......ila eneo ki ukweli sijui linaitwaje.......
Naitafuta Msata kwa njia ya Bagamoyo,nakuja Tanga..
Jioni njema kwa wana CC wa wing zote...