Mi nasubiria akianza kuku CC tu najua Chief Hangaya ushakubali msamaha wa NdugaiNiachieni Ndugai wangu nyie wazee
Najitahidi kuongeza siku za kuishi tu, nicheke wee kama hivi...sina ukorofi wowote.
Ila jamaa linafaidi dadeq!!
Ndio maana wazee inabidi tuwasaidie tu. Maana hamna namna tena. Nami nasema wagongeeni
Hayo mambo ya CC tunaawachia wengine sisi wengine watu wazima babuMi nasubiria akianza kuku CC tu najua Chief Hangaya ushakubali msamaha wa Ndugai
Eeeenh lakini babu hamna tofauti na weweAfu alivyo mtaalam sasa... anakagua madarasa yenye tiles na madirisha ya aluminium
Mimi hapana asee. Labda itokee tu yaniEeeenh lakini babu hamna tofauti na wewe
Afu alivyo mtaalam sasa... anakagua madarasa yenye tiles na madirisha ya aluminium
π π₯³ π πEti Ndugai wangu kweli unafaidi mautam ya toto la kisambaa
Sakayo namfikishia salaam zake
Babu wewe labda itokee ningekuwa sikujui kweliMimi hapana asee. Labda itokee tu yani