EMT
Platinum Member
- Jan 13, 2010
- 14,477
- 15,357
That was a strategic move, inaitwa "regrouping", Nyinyi vizazi vya siku hizi hamuwezi kujua all that. Hata hivo nia ya kurudisha hizo tittles ilikuwepo tu, nyinyi hamja tulazimisha kwa chochote. mmepanga tu siku yenu iangukie siku mkuu Invisible alipanga kurudisha halafu mnataka ku-claim victory for that action.
Strategic move? Usije ukawa kama yule Minister of information wa Iraq wakati wa Saddam Hussein. There are no "infidels" at the office. Kumbe mwenzetu ulisepa kiana. Maandamano yetu ya leo yaliwatia presha. Kubali tuu. The winner (us) took all.