JF Senior Expert Member - Sound SEXY

JF Senior Expert Member - Sound SEXY

Safi sana. Jana kwenye ile thread ya Husninyo niliandaa maandamano kwenda ofisi za JF kudai kurudishwa kwa status ya JF Senior Expert Member baada ya kuondolewa kiana. Leo tuliandamana na akina sweetlady na wamekubali kuirudisha. Unajua ile status ya "Senior Member" bana unaweza ukadhaniwa ni kibabu fulani hivi. lol. Ila Erotica ulisepa kwa kuogopa washawasha la Invisible. Halafu nilikuwa na usongo wa kumfanyia mod RussianRoulette bahati yake akasepa.

JF Senior Expert Members powerrrrrrrrrrrr. lol
Hapo underlined what do you mean? weight your response carefully before you post it... :ban:
 
  • Thanks
Reactions: EMT
kweli senior member inaonyesha kama umedumaa flani hivi

Umeona eh? Senior Member - Mwanachama mzee aka kibabu/kibibi.
Ukituma PMs hujibiwi, kumbe mtu amedhani ni kibabu.
 
Umeona eh? Senior Member - Mwanachama mzee aka kibabu/kibibi.
Ukituma PMs hujibiwi, kumbe mtu amedhani ni kibabu.

Nilipokuwa na senior member mbona wiki nzima sipati hata notifications,nikipata basi inakuwa ni likes tu
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Ukisoma sredi ya Erotica mwanzo mpaka mwisho halaf usipate mshtuko wowote kule maeneo basi ujijue wewe sio rijali, anza kutumia mitishamba kuongeza nguvu .
 
Last edited by a moderator:
Ukisoma sredi ya Erotica mwanzo mpaka mwisho halaf usipate mshtuko wowote kule maeneo basi ujijue wewe sio rijali, anza kutumia mitishamba kuongeza nguvu .


teh teh teh klorokwini mie nikikuona wewe roho yangu ina badilisha

mlio wa mapigo ya moyo inakua "lipu" 'lipu' 'lipu' nikisoma koment zako rahaaa kwenda mbele!
 
Last edited by a moderator:
Ulisepa tulipoandamana hadi ofisini.
Ungetupa ban pale pale basi.

That was a strategic move, inaitwa "regrouping", Nyinyi vizazi vya siku hizi hamuwezi kujua all that. Hata hivo nia ya kurudisha hizo tittles ilikuwepo tu, nyinyi hamja tulazimisha kwa chochote. mmepanga tu siku yenu iangukie siku mkuu Invisible alipanga kurudisha halafu mnataka ku-claim victory for that action.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: EMT
Back
Top Bottom