JF Senior Expert Member - Sound SEXY

Arrgggg I give up. . .ukuwadi umenishinda.

Erotica. . .heheheh utasutwa na matarumbeta wewe.

Ukileta matarumbeta nitaongezea ngoma, ndio hapo utaponiona mtoto wa kizaramo

nikuchezea mdundiko kama vile mimi ndie niliebuni mchezo wa mduara. Itakua burudaaani.
 
Unaona sasa. Kama ungebanana na mie kama ulivyodai mwanzoni ungekuja kuniacha na challenge tuu by December 2013.

teh teh teh. Kumbe ulikua unataka ila ulikua unaogopa challenges?

Wakati namsubiri Invisible hadi hio 2013 tunaweza lianzisha at the time being.
 
teh teh teh. Kumbe ulikua unataka ila ulikua unaogopa challenges?

Wakati namsubiri Invisible hadi hio 2013 tunaweza lianzisha at the time being.

Kama uko ready kuanzishishiwa thread ya challenges by hiyo 2013, ukiwa moja ya challenges.
But mie sitaki kuondoka JF bana, so sitaki challenges za kunifanya niondoke hapa.
 
EMT na Mwali, njooni twende bana, hao wanatuchelewesha.

Ila, EMT umenifurahisha kwa msimamo, ni heri ng'ombe alijuaye zizi lake la kulitetea hadharani.
 
Last edited by a moderator:
Kama uko ready kuanzishishiwa thread ya challenges by hiyo 2013, ukiwa moja ya challenges.
But mie sitaki kuondoka JF bana, so sitaki challenges za kunifanya niondoke hapa.

Loh! Natisha kiasi hicho? teh teh teh I don't bite EMT.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: EMT
Erotica, angalia usije ukakumbana na majini, unatafuta viumbe Invisible! Yeye anakuona wee humuoni! :A S-confused1:
 
Last edited by a moderator:
congrats Erotica ila nakuona kwa tabu au sijui ni ubize, au shem ana kucontain zaid......lol!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom