JF Senior Expert Member - Sound SEXY

Ni PM basi. Mie Kibabu wa aina. Wahi fasta.

Bado tuu. Fanya fasta nasikia huwenda akawepo kwenye baraza jipya la mawaziri

Nime m pm EMT. Sina hamu. Ujumbe wangu ulikua

-Hi Invisible, I am new member with an Erotic name who has made a home at jf. I would like you to be my friend.

Jibu lake hadi sasa I am :disapointed:

System error. Robot does not recognise sequence in msg. I repeat, sytem error zzzzzz. System failure.
 
  • Thanks
Reactions: EMT

Mie nilikwambia tokea jana um-PM Invisible fasta wee ukachelewa.
Ona sasa. Inawezekana tayari yuko Ikulu sasa kuchukua wadhifa ndio maana system inaleta errror.
Poor you.
 
Last edited by a moderator:
You naughty boy
hujaona tumekuita kwenye uzi wa hot ana not hot?

Poor me indeed. Mimi nilikuambia ni heri nimfungulie thread ukakataa.

Unaona sasa umenipeperushia ndege kwa ushauri wako ulionifanya nikose guts?

Haya hayo yamepita, how do I treat the damage. Maana naona hadi Invisible kakugongea

foot print ina maana manenyo yako ni msingi na kweli. Nikishinwa kwa Invisible nabanana wewe!
 
Mbona sijaona. Sipati notifications za taggings na mentions.
Nina wasiwasi kuna mtu amezi-disable kwa makusudi.

Ungefungua thread nyingine kuna mod mmoja kwa jina RussianRoulette ana mtindo wa kuunganisha threads.
Kwa hiyo, lazima tuu angeunganisha hiyo thread na ile nyingine niliyokupa.
The damage is untreatable. Kama umeshindwa kwa Invisible mie sio second class bana.
Maana kesho kutwa atakatiza na shangingi lake la uwaziri kitaa halafu utaniacha hivi hivi.
Sitaki challenges nisije nikakuanzishia thread bure.
 
Nionee huruma. You look sharp najua huwezi niangusha.

What step shud be taken by Etotica? Erotica feels lost.

Nipe maujanja kwa vigezo kua wewe pia mwanaume hivo

unaweza kua na aidiya ya mimi kua na second chance.

Walau nipande hata hio shangingi, mie sijawahi toka nizaliwe.
 
Sidhani kukuonea huruma itasaidia. Ila ukweli ndio huo.
Chelewa chelewa haina baraka.
Ukiona vyaelea jua vimetupwa baharini.
 
dayme!!! Nam pm tena saizi tuone kama bado system error ipo.
 
Kumbe kuPM ndio kuwa gentleman?
I thought ladies first.
Sitaki malalamiko ya kibabu ati.

EMT kuPM pekee sio. . .ila kumPM ummmhh, naniii kwasababu najua angependa ni kuwa Gentleman.
 
Last edited by a moderator:
Nishakuambia tuu late. You fighting for a loosing battle..

Have done it EMT, He is sooo coool. Kanijibu yes he will be my friend. Na nikitaka kupanda

Shangingi it is ok kaniweka ni line, Zamu yangu ni December 2013, ila ikitokea any changes nitaambiwa. Woooorey!
 
Nishakuambia tuu late. You fighting for a loosing battle.

Kiswahili kimekuwa advanced hivi? Faffanua please.

Arrgggg I give up. . .ukuwadi umenishinda.

Erotica. . .heheheh utasutwa na matarumbeta wewe.
 
Last edited by a moderator:
Have done it EMT, He is sooo coool. Kanijibu yes he will be my friend. Na nikitaka kupanda

Shangingi it is ok kaniweka ni line, Zamu yangu ni December 2013, ila ikitokea any changes nitaambiwa. Woooorey!
Unaona sasa. Kama ungebanana na mie kama ulivyodai mwanzoni ungekuja kuniacha na challenge tuu by December 2013.

Similar Discussions

Back
Top Bottom