- Feb 10, 2006
- 4,432
- 15,847
Kuna ujumbe unatokezea kwa wengi unasomeka hivi:
JF will be undergoing a major system upgrade. The system is scheduled to be offline beginning 6:30pm EAT on Oct 04, 2013. You may see several error messages; please ignore them! Updates on the progress will be posted on FikraPevu, JamiiForums on Facebook and JamiiForums on twitter
Naomba kuwafahamisha kuwa tunaboresha miundombinu yetu kiutendaji ili kuongeza ufanisi.
Endapo kutakuwa na mwenye BREAKING NEWS ambayo angependa isambazwe haraka, anaweza kutuma habari kuja habari@jamiiforums.com au macdemelo@gmail.com nasi tutaisambaza haraka sana kwenye mitandao ya Twitter, Facebook na FikraPevu.
Asanteni
===========
UPDATE:
Mchakato umesitishwa hadi itakapopangwa upya kutokana na kutoridhishwa na matokeo ya mwisho ambayo hatukuona yanafaa kuletwa kwa wateja wetu kutumika