JF scheduled system upgrade

JF scheduled system upgrade

Status
Not open for further replies.
Duh...
JF leo itanipeleka FB, poa mkuu Maxence De Lima kazi njema!
 
Maxence Melo naomba mrekebishe na app ya android imekuwa ngumu sana kwenye kuattach picha
 
Last edited by a moderator:
Sasa naona ndo mda wakufanya Test zangu maana test JF saa nita concentrate on my test!! but all in all thanks for your info!
 
Unatumia SIMU? Kama ni simu, kuna viunganishi (apps) vinakupa fursa ya kubonyeza LIKE. Kama ni 'mchina' basi inakuwa ni vigumu kidogo.

Kama ni Simu au tablet ya Android, nenda kwenye Google Play, search for JamiiForums utakipata kiunganishi kirahisi.

Kama ni simu ya iPhone/iPad basi ingia App Store, search for JamiiForums and install it.

Baada ya kufanya marekebisho ya miundombinu yanayofanyika leo, tutaenda ngwe ya pili (mwezi huu huu) ambapo mabadiliko kimwonekano na urahisishaji zaidi vitafanyika. Tulishaahidi kuboresha upande wa LIKE na kinyume chake. Wengi walitaka kiwepo kitufe cha kuzomea wanaoandika pumba nasi tumeona vema tuwasikilize walio wengi.

Asante

binafsi natumia NOKIA C3 LAKIN LIKE CJAIPATA HADI NIINGIE KWA PC,,,,,,,
 
kwakweli weekenda itakuwa ndefu sana...

Max mrudi mapema bwana na kitufe cha dislike
 
Unatumia SIMU? Kama ni simu, kuna viunganishi (apps) vinakupa fursa ya kubonyeza LIKE. Kama ni 'mchina' basi inakuwa ni vigumu kidogo.

Kama ni Simu au tablet ya Android, nenda kwenye Google Play, search for JamiiForums utakipata kiunganishi kirahisi.

Kama ni simu ya iPhone/iPad basi ingia App Store, search for JamiiForums and install it.

Baada ya kufanya marekebisho ya miundombinu yanayofanyika leo, tutaenda ngwe ya pili (mwezi huu huu) ambapo mabadiliko kimwonekano na urahisishaji zaidi vitafanyika. Tulishaahidi kuboresha upande wa LIKE na kinyume chake. Wengi walitaka kiwepo kitufe cha kuzomea wanaoandika pumba nasi tumeona vema tuwasikilize walio wengi.

Asante

Mkuu sio kuzomewa tuu, ni muhimu kuwe na kitufe cha RATING pia ili wasomajiwawe wanarate post zenye ati nyingi basi ziendelee kubakia juu, na kama ni pumba ipotelee huko page ya 10.
 
Bila jf imara na ya kisasa,tutakonda ase
 
Samahani mku, bado napenda kuuliza kama application ya kwenye Windows Phone inatoka lini???
 
Ntakuwa wa kwanza kukishambulia kitufe cha dislike.
 
Kuna ujumbe unatokezea kwa wengi unasomeka hivi:

JF will be undergoing a major system upgrade. The system is scheduled to be offline beginning 6:30pm EAT on Oct 04, 2013. You may see several error messages; please ignore them! Updates on the progress will be posted on
FikraPevu, JamiiForums on Facebook and JamiiForums on twitter

Naomba kuwafahamisha kuwa tunaboresha miundombinu yetu kiutendaji ili kuongeza ufanisi.

Endapo kutakuwa na mwenye BREAKING NEWS ambayo angependa isambazwe haraka, anaweza kutuma habari kuja habari@jamiiforums.com au macdemelo@gmail.com nasi tutaisambaza haraka sana kwenye mitandao ya Twitter, Facebook na FikraPevu.

Asanteni
Umeishawaharibia siku vijana wa mtaa wa togo.
 
JF management ur so organised sn, I lky dhat...hv kwann tusiwatumie kwenye mambo mengi ya nchi yetu makatusaidia kupunguza umasikini???anyway ngoja katiba mpya ije lbd itatoa mwanya ya watu kama ninyi kusaidia nchi yetu pengine zaidi ya sasa.
 
Mweeeeeeeeeee!!!! Let me stock enough stuff in my refrigerator. Sitaki shida

fridge+full+of+booze.jpg

Mkuu naweza kuwa nawewe katka kipindi hiki kigumu?
 
Wazo zuri sana hili .

Hasa hapo kwenye kitufe cha "kuzomea"...

Ikibidi kiwe kinatoa kabisa sauti ya "nyauuuuuuuuuuuu"
 
Well, nice to see Jf undergoing system upgrading!! Hope you will come up with nice features that most of us well wishes!! Thanks Jf management,.. See you shining.
 
bado mimi kero yangu ileile msipoiboresha hii nitaendelea kuliongelea notification za kwenye simu ziwe sawasawa na kwenye browser ya laptop(computer) mfano mtu akikuquote au akilike au akikumntion kwenye simu huoni ila kwenye computer unaona hapa naongelea feautere phone na wala sio smartphone
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom