Smooth Criminal
JF-Expert Member
- May 13, 2024
- 1,334
- 2,299
I'm here!
The king on my own kingdom
The king on my own kingdom
Mm umeniotajeNimefurahi kuona mpo, kuna watu hadi nimewaota.
Mbaga Jr Tayana-wog Yoda
Inachekesha lakini ndio kweli.
YapWakuu natumai wote ni wazima.
Tutakuwepo mpaka siku tunashuhudia utawala katili ukianguka na Tanzania mpya ikipatikana.Nimefurahi kuona mpo, kuna watu hadi nimewaota.
Mbaga Jr Tayana-wog Yoda
Inachekesha lakini ndio kweli.
NdiyoHivi huyu si walimuua kipindi cha JK? Au nachanganya?
Kama ni member wa JF na ulikuwa unahamasisha maandamano na uko hai basi wewe ni KEY BOARD WARRIORWakuu natumai wote ni wazima.
Kama upo hai na mzima wa afya, wewe kama member wa JF pita hapa ucomment chochote tujue bado upo nasi.
@teki modise nipoooo