Uzoefu wako

Uzoefu wako

Melancholic

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2018
Posts
3,644
Reaction score
6,671
Wakuu hivi ile slogan ya kuongozana na mzazi mwenzio hospitali kwa ajili ya kuanza Clinic hii ishu imekaaje naskia bila kuongozana na binti basi awezi pewa huduma je ni kweli??

Na vp kuhusu vipimo vya VVU naskia mnapimwa wote sasa nahitaji kujua majibu yanatolewa kwa style gani?? Wanawapa mkiwa wote au ni vp??

Naomba kujua abc labda inaweza kunipa ujasiri na mwanga zaidi maana nimeshikwa pabaya.

Sijawahi kupima na kama mjuavyo kuna pita pita za hapa na pale watu tunakosea japo nina afya nzr ila swala la kupima tena ukiwa na mwenza ndio kipengelena mbaya zaidi sina maelewano mazuri na binti.
 
Wakuu hivi ile slogan ya kuongozana na mzazi mwenzio hospitali kwa ajili ya kuanza Clinic hii ishu imekaaje naskia bila kuongozana na basi binti awezi pewa huduma je ni kweli??

Na vp kuhusu vipimo vya VVU naskia mnapimwa wote sasa nahitaji kujua majibu yanatolewa kwa style gani?? Wanawapa mkiwa wote au ni vp??

Naomba kujua abc labda inaweza kunipa ujasiri na mwanga zaidi maana nimeshikwa pabaya.

Sijawahi kupima na kama mjuavyo kuna pita pita za hapa na pale watu tunakosea japo nina afya nzr ila swala la kupima tena ukiwa na mwenza ndio kipengelena mbaya zaidi sina maelewano mazuri na binti.
Lazma uende naye booss mtaelewana tuu njiani
 
Nenda tu mkuu. Kupimwa Ngoma hiyo ni lazima na MAJIBU mnapewa wote wawili bila kificho ili Kila mmoja wenu ajue Hali ya mwenzie kuhusu maambukizi. Ila wale manesi wa cliniki wanawaandaa kisaikolojia kwanza kabla ya kuwapa MAJIBU.
 
Back
Top Bottom