Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 27,407
- 54,850
Nipp mkuu nakula maisha tuuu...
Kama leo ndo siku ambayo takua relaxed
Nipp mkuu nakula maisha tuuu...
Huyo si alikataaa kupewa connection ya mimama ahahahaha muache apambaneYupo amekamatwa na vijimama vya mtaani vilivyokua vinakimbilia gheto kwake kwa kuogopa mabomu.
Poor Brain hebu njoo umsimulie Vishu ulivyoneemeka.
Nili pata wasiwasi, halafu Mbona kinyonge au bado una ogopa?Nipo salama😮💨
Nimejaa tele kama pishi la mchele,Dr. Mariposa upo rafiki?
sema we pisi huwa una swaga fulani nazikubali, mi najibu kwa dude la mchizi mox.Nimejaa tele kama pishi la mchele,
Umenikumbusha wimbo wa kitambo "Ni Rafiki tu",
" huyo ni manzi ako,"
"Rafiki tu mazee, manzi yangu yupo, mbona hata ye anamjua"
Hiyo battle ilikua hatariii sema Ngweir alishinda bhana, anakwambia "niguseee nikuchane chane na viwembe" 😄sema we pisi huwa una swaga fulani nazikubali, mi najibu kwa dude la mchizi mox.
Kuchorwa kuchorwa kitu gani, unaweza ukachora na bado usione ndani.
Nakataa kwangu mchizi mox ndio ali shinda, na ka una jiamini Dr. MariposaHiyo battle ilikua hatariii sema Ngweir alishinda bhana, anakwambia "niguseee nikuchane chane na viwembe" 😄