Amba Samedi
Senior Member
- Apr 5, 2024
- 193
- 326
Nipo. KaziKasi Boy Kutoka Morogoro
raisi wako nanNiko hai na nimewanyoosha kweli kweli.. walileta madharau sana
Mbona kama ulijifungia ndani babu! Utoke usiteguke hata mguu kwa mbio?Nimetoboa kibishibishi sana. Hata siamini katika huu umri wangu niliweza kukimbia kumzidi Usain Bolt ili tuzikwepa risasi za wale vilaza waliofeli mtihani wa kidato cha nne.
Niwe tu mkweli. Niliingia barabarani kuwashuhudia Gen Z. Na nisiwe mnafiki! Wanastahili pongezi. Na kama huamini, angalia kwa umakini ule mwili wa yule mwanamke mwenzako kama haujapungua kilo za kutosha ndani ya siku mbili tu.Mbona kama ulijifungia ndani babu! Utoke usiteguke hata mguu kwa mbio?
JmnNimefurahi kuona mpo, kuna watu hadi nimewaota.
Mbaga Jr Tayana-wog Yoda
Inachekesha lakini ndio kweli.
kwahyo tukusaidie nini mama?Kama ni member wa JF na ulikuwa unahamasisha maandamano na uko hai basi wewe ni KEY BOARD WARRIOR
Sawa mkenyaWatanzania ni bendera fuata upepo, sasa hivi mambo ya free polepole, free tundulisu, free heche n.k yamekwisha. Upepo umehamia kwenye taarifa za risasi na vifo
Nipo mwana, wahuni wali nikosa.Mwanangu Intelligent businessman amepona kweli mpaka saa hizi?
@min_me salamalekoWakuu natumai wote ni wazima.
Kama upo hai na mzima wa afya, wewe kama member wa JF pita hapa ucomment chochote tujue bado upo nasi.
Teko Modise nipoooo
Pole sana mwana.Nipo mwana, wahuni wali nikosa.
Njoo usafishe miguu nitakulipakwahyo tukusaidie nini mama?
Mwanao Poor Brain yupo kweli??Auntie nipo
Yupo amekamatwa na vijimama vya mtaani vilivyokua vinakimbilia gheto kwake kwa kuogopa mabomu.