Uvunguni mwa tako lakoUmesahau ulivyojificha mvunguni
kweli ni vawulence😁
Bado nipo hai madam, japo haikuwa rahisi .
Tunaanzia tulipoishia.Niko hai na nimewanyoosha kweli kweli.. walileta madharau sana
Inasikitisha sana.Mimi sipo.
Nimeshuhudia vichaa wawili wanapigwa risasi na kupoteza maisha huku hawajui hili wala lile.
So sad kwamba uhai wao umezulumiwa na hakuna chochote kitatokea
Kumbe kwenye mbio upo vizuriBado nipo hai madam, japo haikuwa rahisi .
Tunaanzia tulipoishia.
Kitu ambacho CCM hawakukijua.Kumbe kwenye mbio upo vizuri
Tupe majibu kwanini moto hausambaiKitu ambacho CCM hawakukijua.
Raia wengi wana mafunzo ya kijeshi.
Achilia mbali wale waliokwenda kwa mujibu, ila wapo wale ambao walipita jeshi ila hawakupata ajira.
Hujashangaa kwa nini wakati majengo yanachomwa moto lakini moto hausambai kwenye mazingira jirani???
Mafunzo maalum 😂😂😂😂😂 ndio maana mazingira yaliyokuwa yanaungua ni yale ambayo yalikuwa kwenye target . Wasio na hatia hawakudhulumiwa.Tupe majibu kwanini moto hausambai