INAUZWA Nauza mbuzi na kondoo

INAUZWA Nauza mbuzi na kondoo

Una kondoo aina gani mkuu?
 
Yaani biashara ya mtandaoni bila hata picha za bidhaa na huduma unazotoa?
Mtu ataamini vipi sasa mkuu angalau kwa kuona unachotoa?
Tangazo halijakamilika mkuu
 
Nje ya mada:

Kwa nini mabucha ya nyama ya mbuzi ni adimu tofauti na ng'ombe?

NB:Sidhani kama ni issue ya wateja sababu huko kwenye baa ndiyo kitoweo pendwa!!
 
Jamaa ameomba uweke Picha za Kimtindo,
Ndo nikamshauri kua bora ziwekwe picha za kinachotangazwa hapa, sio Picha za Kimtindo, sababu hapa mada haihusu Kimtindo
🤣🤣Ila wewe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom