Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
JF ni zaidi ya Msosi au kilaji
Siwezi kulala bila kuja kuwasabahi Mamember
maana ukikorofishana na huyu lazima utacheka na yule
ukikoswakoswa BAN utaambulia LIKE au REPUTATION
hiyo ndio JF
teh!teh!teh!teh! apotu ndo napo chana mbavu zangu tu!mweee!
exactly!
Nilijaribu kuiepuka nikashindwa now ni full burdaaaani.
Nikinuna na huyu nitacheka na yule hii ndio raha ya jf haina ubaguzi
Kweli wenzetu mnafaidi
Nalog off
niko on lete mipango,nakusubiria ulog on kuna kitu,nataka nikuulize!
basi nmechelewa kumbe ushalog off,siku log ikiwa on,nitakwambia kituniko on lete mipango,
Nalog off
Jf rahaa utamuu?
utamu unakujaaaa utamuuu unakata
Sasa huu tuuite utamu wa uvuguvugu au....
Miss u mwenza
huo ni utamkolea!
miss u too mwenza
Kwanini mimi hujanitaja?
Haya jinsia yako tafazali?
Kama ni KE, sikumbuki kama nlishakukagua. U kam zis wei chapchap sana.... tena without...