JF PM imekusaidiaje?

Kingmairo

JF-Expert Member
Apr 7, 2012
4,936
3,533
Wana Chit Chat, PM humu Jamvini ni nyenzo muhimu kwa matumizi mbalimbali! Leo napenda kupata ushuhuda je PM imekusaidia katika lipi? Kuna wengine wameshaweza ku-exchange phone numbers, e-mail na hata kuonana face to face kwa msaada wa PM! Kuna wengine kama Bishanga aligonganisha magari through PM, wengine ni couples sasa kwa msaada wa PM! Binafsi, sina something tangible cha kushuhudia, je wewe? Hebu tiririka hapa!
 
Imenisaidia sana hasa pale nilipodate mdada mpaka tukapanga kutoka out,na siu ilipofika tukautana maeneo nikaja gundua kumbe nilikuwa nadate na dada yangu baba mmoja mama mmoja tulipoutana tukaishia kucheka tu na kuulizana kumbe wewe ndio mtakatifu na mimi nikamuuliza kumbe wewe ndio.....................
 
Imenisaidia sana hasa pale nilipodate mdada mpaka tukapanga kutoka out,na siu ilipofika tukautana maeneo nikaja gundua kumbe nilikuwa nadate na dada yangu baba mmoja mama mmoja tulipoutana tukaishia kucheka tu na kuulizana kumbe wewe ndio mtakatifu na mimi nikamuuliza kumbe wewe ndio.....................

yastahili yakukute ila pole sana
 
...aisee kuna jamaa nilimkoromea hapa chit chat...bwana baada ya muda si nikakuta bonge la mkwara kule PM, khaa nilimchambaje!!
nadhani mpaka sasa mikono yake itakua impata matege ya ghafla hata kutype jawezi maana sijamtia machoni hapa chit chat tena...
 
Hzi PM lol!
Kwa kweli zimenikutanisha na watu ambao nilikuwa nawaona kwenye TV tu!
 
Ashukuriwe aliesema tusitumie real Name zetu,maana tungeona aibu kujibizana na Wakwe na Mababu zetu humu Jf.
 
Hivi umeshawahijiuliza kwanini huwa nakupa Like kwenye post zako nyingi..??

We Msiri wangu bhana.
Unanifichiaga mambo mengi sana na Laiti ningeambiwa nikuchagulie zawadi,basi ningekupa Mbavu yangu moja.
Ila ni kweli kbs huninyimagi Like wewe na mtu fulani hivi,yani hata sio wachoyo.
Haya niambie...
 
Na wewe nimekupa Like hapo,umeshawahijiuliza kwa nini lakini..??
Halafu hujanijibu bado unatokeaga wapi lakini wewe..??

Mtu Chake wewe,
we mbona nanilii kakugeuza Vocha,
anakukwangua kila kukicha na hatusemi?
Au ndo yaleyale Akisafiri Mwarabu kaenda Dubai,
Akisafiri Mzaramo kenda Ngomani.
Mwache Pedeshee langu ajinafasi,Mtoto wa Dsm,
Mtoto Handsome,
Nakati ya CityCentre.
Hakuzaliwa kwa bahati mbaya na wala haishi kwa Makusudi.
Horyaaaaa...!!!
Msiri wangu St Paka,hebu kalale,kha!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom