Mphamvu
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 10,702
- 3,356
Usitufanye watoto wadogo hapa,
usikute ni shemeji yako au umefikia kwake toka kijijini kwenu.
Usipomsifia yeye,msifie Madame B sawa?
Duh?
Nimekuwa mdananda tena, mie niko mjini tangu 93 maisha yalipomshinda mama Nelspruit, Mpumalanga, akahamia Dar kwa mumewe.