JF ni mambo yote nimepata mume hapa jamani nashukuru

kama una kaujauzito tayari mmeshaoana hakuna haja ya kufunga ndoa nyingine. Yaani umefanya naye uasherati then mnafunga ndoa! Labda uniambie mnapasha kiporo.
haina shida kila mtu anaishi kwake kwa sasa tunataka kuhalalisha kila kitu
 
Nimepata mwenza hapa jf tunafunga ni mwanaume wa aina yake ndoa tar 28/11/2011
niko na kaujauzito ka mwezi
nashukuru sana jf
nitawatumia kadi baadhi siku ikifika
karibuni sana

ni ushuhuda wa kweli

yaani wewe unavunja amri ya sita kabla ya padri kuwahalalishia khaaa..
 
Nimepata mwenza hapa jf tunafunga ni mwanaume wa aina yake ndoa tar 28/11/2011
niko na kaujauzito ka mwezi
nashukuru sana jf
nitawatumia kadi baadhi siku ikifika
karibuni sana

ni ushuhuda wa kweli

Una roho ngumu kama ya paka
 
Hongera sana mwanangu MUNGU awabariki mpate watoto wa kike na wakiume na wajukuu waizunguke meza yenu.
 
Niliona kwa tv ya TB Joshua mtu alipata mke kwenye facebook kumbe ni jini lol sasa wote mnaotafuta wake/waume / bf /gf mnaanhalia vigezio gani jamin mi nataka kujua lol....huruma?tabia mnachunguzana saa ngapi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom