Husninyo
Platinum Member
- Oct 24, 2010
- 24,342
- 10,686
nita kupm mpendwa
ahsante mpendwa, nishaanza kutengeneza apitaiti mwenzio.
nita kupm mpendwa
asante mwaya......Husninyo amenishinda.......
badala ya kuuliza kadi ya mchango....
hongera sana....kila siku nawaambia watu JF kuna wapenzi hawasikii...ona sasa......
Hongera sana ma jery! Hayo ni mambo mazuri. Umenitia moyo namimi nitatafuta humu humu time ikifika!
Sunshine jana nimekuota na cjiwezi juu yako.
Heheeeh! Kama jana uliniota na sasa hujiwezi basi uliota mimi ni jitu kuuubwa linakukimbiza na mlango wakutokea huuoni! Pole weeh! Angalia usije pata BP na Shell vyote kwa pamoja!
Nimepata mwenza hapa jf tunafunga ni mwanaume wa aina yake ndoa tar 28/11/2011
niko na kaujauzito ka mwezi
nashukuru sana jf
nitawatumia kadi baadhi siku ikifika
karibuni sana
ni ushuhuda wa kweli
Nimepata mwenza hapa jf tunafunga ni mwanaume wa aina yake ndoa tar 28/11/2011
niko na kaujauzito ka mwezi
nashukuru sana jf
nitawatumia kadi baadhi siku ikifika
karibuni sana
ni ushuhuda wa kweli
Nimepata mwenza hapa jf tunafunga ni mwanaume wa aina yake ndoa tar 28/11/2011
niko na kaujauzito ka mwezi
nashukuru sana jf
nitawatumia kadi baadhi siku ikifika
karibuni sana
ni ushuhuda wa kweli
Ndani ya miezi minne tu tangu june 15 ulipo join
hongera kwa hilo
nimekuota wewe ni Mama mtarajiwa wa mtoto wangu na upako nimepewa,nipe nafasi.
Nimepata mwenza hapa jf tunafunga ni mwanaume wa aina yake ndoa tar 28/11/2011
niko na kaujauzito ka mwezi
nashukuru sana jf
nitawatumia kadi baadhi siku ikifika
karibuni sana
ni ushuhuda wa kweli
Hihii! Huo upako si wangu bwana. Maana wewe unazungumzia mtoto na wakati mimi upako wangu unazungumzia watoto! Upako umetofautiana hapo! Kaa kwenye maombi vizuri!!
mtoto m1 ufungua uwanja kwa wengne kufuata..au umesahau msemo wa safari moja huanzisha nyingine? Fungua moyo wako ehe!
Nimepata mwenza hapa jf tunafunga ni mwanaume wa aina yake ndoa tar 28/11/2011
niko na kaujauzito ka mwezi
nashukuru sana jf
nitawatumia kadi baadhi siku ikifika
karibuni sana
ni ushuhuda wa kweli
Hongera sana mamito,kumbe inawezekana! Ngoja na mimi nijitafutie,kila la kheri mwayego usiache kunialika