venine
JF-Expert Member
- Nov 11, 2010
- 1,458
- 1,571
habari wana JF! mimi nimeolewa na tuna watoto wawili kwenye ndoa ambayo naweza kusema pamoja na changamoto za hapa na pale, ndoa yetu ina furaha. hivi karibuni nimegundua mimi na husband tumekuwa busy na mitandao ya kwenye simu. kuna wakati tunakaa tunaangalia taarifa ya habari saa 2 usiku huku kila mtu yupo busy na mtandao.
kuna siku nilimuuliza siku hizi upo busy sana na mtandao, kulikoni? akajibu huwa anakuwa JF, jukwaa la siasa.
Jana tena nikamuuliza mbona busy sana na simu (wakati huo mi yangu siitumii), akasema kuna story anaifatilia. Akawa busy na simu kwa muda mrefu.
Baadae umeme ukakatika, akaomba tutoke out kidogo, nikamwambia sawa lakini kwa sharti kwamba huko tunakoenda sitaki awe busy na simu au na JF. akanijibu wewe ndio kila siku upo busy na mtandao, je wewe hautaingia MMU. nikashtuka, nikajiuliza kajuaje kama mi huwa nakuwa MMU.
ila najiuliza, hii JF inaweza kudhoofisha mahusiano especially ukiwa addicted. ila kuna watu ambao muda wote wanacomment humu JF, wao wanawezaje? hawana wenza au?