JF na ndoa zetu

JF na ndoa zetu

Ts tru,kuna jamaa mmoja among reasons za kumpiga kbut ni kushka cm muda wote..ALINICHOSHA SANA,yn hana tym na wew,mnaongea kdogo yupo insta,mara bbm,cjui watsap,fb,jmn khahhh limtu unaongea halikusikii had uongee mara mbilimbili...nkaona isiwe tabu basi F**k ur phone am long gone,
ht me nmejifunza usiwe addict wa simu mpe mpenzio all the attention he/she deserves
 
Pia hata uandishi mbovu kama wako unachangiwa sana na utumiaji hovyo wa simu, hebu angalia unavyoandika kama unabania herufi vile...khaaa!!!

Heri muuza mkaa mwenye nokia tochieeeh!.??
 
Hebu naomba ufafanuzi kidogo hapa....
simu iliishiwa charge that's why sikutoka nayo, so i had to leave it kwenye charger incase umeme ukirudi iendelee kujicharge. thx kwa comments wote
 
sasa venine wakati unaweka hii mada saa 6.35 usiku mr alikuwa wapi?au na yeye ndo yuko busy na siasa?
ndio muda ambao tulikuwa tunaingia kulala after a long xmas day
 
Haya...

Ila jaribu kutenga muda wako kwa mambo binafsi na majukumu ya kindoa, muda idle ndio uwe waingia jukwaani.

simu iliishiwa charge that's why sikutoka nayo, so i had to leave it kwenye charger incase umeme ukirudi iendelee kujicharge. thx kwa comments wote
 
Pia hata uandishi mbovu kama wako unachangiwa sana na utumiaji hovyo wa simu, hebu angalia unavyoandika kama unabania herufi vile...khaaa!!!

TOA POINT kwny topic mkuu...Hapo usichoelewa kwny post yangu ni nin,..hujui time management?uandke maherufi yote ya nin,..INAHUUU?!!....
 
Ts tru,kuna jamaa mmoja among reasons za kumpiga kbut ni kushka cm muda wote..ALINICHOSHA SANA,yn hana tym na wew,mnaongea kdogo yupo insta,mara bbm,cjui watsap,fb,jmn khahhh limtu unaongea halikusikii had uongee mara mbilimbili...nkaona isiwe tabu basi F**k ur phone am long gone,
ht me nmejifunza usiwe addict wa simu mpe mpenzio all the attention he/she deserves

Kwa hiyo wewe ulikuwa naye for the sake of being f****d au?
 
nahh,dont get it twisted..nlimpenda and nilitaka tuwe tunapiga stori kw wingi na kuongea mambo ya kimaendeleo but huo muda kwake haukuwa A PRIORITY bbm,insta,fb nk was,..and bad enough anaanza kukuonyeshea other girls anaochat nao huko nk,oh mara some chick is hot cjui nini,sasa wa kazi gani mtu kama huyu....kila saa had uchukue cm yake uweke pembeni,ts obvious karibu kila mtu yupo kwny moja au zaid ya social networks bt jaman dharau ukizidisha KBUTI KITAKUHUSUUU..TENA KWEUPEE
 
Vyote havieleweki...

Kwa hiyo time management ni kuandika vitu visivyoeleweka au?

..Hapo usichoelewa kwny post yangu ni nin,..hujui time management?uandke maherufi yote ya nin,..INAHUUU?!!....
 
sema we labda ndo huelewii...usimind lakn,GOT UR POINT..bas yaishe

Hahah najua wewe ni kati ya smart girls hapa ndio maana macho yakawa yamenitoka nikahisi labda hilo jismartphone lako limeanza ukorofi wa kubania baadhi ya herufi...
 
Kwa sie ma single lady jf inatusaidia kuepukana na stress za upweke.
 
Back
Top Bottom