JF na ndoa zetu

JF na ndoa zetu

angalia msije kutongozana MMU au mnajua majina mnayotumia Jf

ID yake ya jf siifahamu, sijui kama anaifaham yangu. Ila sina wasiwasi na kutongozwa nae maana siwezi kutongozeka kirahisi especially humu jf ambapo watu wanatumia id fake. Usipoangalia waweza tongozwa na kaka yako humu
 
Kuwa muangalifu dada yangu, hii mitandao inaweza kuharibu mahusiano kabisa
 
Hakukuuliza kama unaingiaga jukwaa la wakubwa?
 
bora mie naetumia tochi yenye simu.
 
Back
Top Bottom