badiebey
JF-Expert Member
- Nov 29, 2013
- 5,875
- 3,117
Hahah najua wewe ni kati ya smart girls hapa ndio maana macho yakawa yamenitoka nikahisi labda hilo jismartphone lako limeanza ukorofi wa kubania baadhi ya herufi...
haha hamna yani,napataga uvivu kuandika kila kitu yn,haya ahsantee....ntalfanyia kazi