Jeff
JF-Expert Member
- Sep 26, 2009
- 1,293
- 202
mzee kaumba night klabu wanaenda walalaho manake kule jero,buku unangoa, mi nakushauri uende Oasis ama Hilux, hope utainjoi vibaya,na kama unatumia mdudu/ mnyama nenda sarvoy ipo ya kuchoma swaaaaaafi kabisa.
mkuu hata kule wanapatikana au aendee nae