JF mnaruhusu hizi avator?kwa nini mnaipenda?

Status
Not open for further replies.
nyingine inayotia kichefu chefu ni avatar ya CHARGER.sijui kwanini wanamuacha maana inaashiria matusi
 
sidhani....inategemea na wewe umewaza nini.....mi naiona kama mtu analamba Ice cream....ama sukari vile......
 
mpendwa, jina lako kwa kiswahili linamaanisha nn? mi nadhani matusi unakuwa unayawaza kichwani mwako, i stand to be corrected
nyingine inayotia kichefu chefu ni avatar ya CHARGER.sijui kwanini wanamuacha maana inaashiria matusi
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom