Dena Amsi
R I P
- Aug 17, 2010
- 13,080
- 4,276

Dah!!! Aisee Dena umetisha nimekuaminia toy market pa ukweli sana kule kwa suti

Suti ya kshs 3500 dar ni laki na nusu

Dah!!! Aisee Dena umetisha nimekuaminia toy market pa ukweli sana kule kwa suti
Nashukuru kwa kunikumbusha hiyo sehemu kuna haja ya kuweka walau order ya piece 3

Jamaa wanashona km zile za woolworth toka south ni balaa,.

Nashukuru kwa kunikumbusha hiyo sehemu kuna haja ya kuweka walau order ya piece 3
Kuna ambao nawafahamu wana duka Kinondoni na Mikocheni pia Mwenge (Ila hili Duka lina nguo za Kiume tu) ambapo mtu unaweza kupata nguo nzuri sana wote wanatoa huko huko KikombaaMimi huwa nna jamaa zangu huwa wanaenda huko ( kikombaa) then wanatuletea ofisini, huwa wanaleta kwa oda wanasambaza kwa waliowaagiza, sina hakika hasa maduka yao yako sehem gani, nitauliza afu ntakujulisha. Ni vitu vya ukweli sana.
Good Stuff

Niagize mimi nakwenda next week

Unapenda sana kunionea lol
Namba 8 hujaiona???
Ninyi hata mngefukuzwaje bado mnatamani sana kuwa kama sisi, kila kitu wanachofanya wanaume hammezei mate tu bali mwataka kutest. Angalia sasa hatutofautiani kwenye uvaaji wa suruari na suti. Hata hapa acha tu tubanane hivyohivyo. Kila mkikatazwa lakini mnachomeka kwa style kama hii unayotumia Dena. Asante kwa kutuchungulia.

Asante kwa taarifa ila mnatufukuza kwenye thread yenu., wabaya nyie

Ninyi hata mngefukuzwaje bado mnatamani sana kuwa kama sisi, kila kitu wanachofanya wanaume hammezei mate tu bali mwataka kutest. Angalia sasa hatutofautiani kwenye uvaaji wa suruari na suti. Hata hapa acha tu tubanane hivyohivyo. Kil mkikatazwa lakini mnachomeka kwa style kama hii unayotumia Dena. Asante kwa kutuchungulia.
1. maduka mazuri ni NEXT, MS (marks and spencer), H&M,Tk marks
2.Kama namba (1) , ila PRIMARK ndio penyewe
3.Nenda Auto Trader UK - Used cars for sale, motors.ebay.co.uk
4.michezo, kutoa chochote kwa watoto yatima, (kutembelea charity shops)
5.Kujenga nyumba yenye ulinzi wa kutosha, kupanga mahali ambapo ni karibu na wastaarabu, kuwafundisha watoto watu mbinu za usalama
6.The Hilton, The marriot, KFC, MacDonalds, Starbucks,...
7.PUMA,Nike, Converse, ALL STAR,PETER ENGLAND, Van Hausen,....
8.(Wale wenye upendo wa dhati, wavumilivu, wenye hekima ya maisha, waaminifu,wasomi kiasi)...
9.Tusiwe IDLE, tufanye mazoezi, tucheze na familia, tushiriki ibada, tusome vitu vipya(kujifunza mambo mapya),tushiriki kwenye mambo ya jamii, tusitembee peke yetu, tusifanye kazi saa mbaya ofisini (tumalize shughuli kwa wakati), tulime (bustani) n.k
10. Hivi kwa nini wanaume hawachangii hii mada..nimegundua ni TF na Superman..tu??? au hatujui nini tunataka wanaume..??
Mambo haya ukweli yanategemea sana na kipato,binafsi nashauri yafuatayo:
1. Shopping ya kum surprise mama kama unazo nenda cassandra pale mikocheni kwa Nyerere ,wana lingerie nzuri.
2. Kama kipato chako cha wastani outing na mama na watoto nenda kariakoo kwa muchacho wanapika kuku watamu ni hatari,nasikia siku hizi wamefungua branch Upanga mtaa wa mfaume.
3.Kuepuka vimada kama wewe mwislam sali mara 5 kwa siku na mfukoni tembea na msahafu,kama mkristo okoka, jiunge na kwaya kwa kwenda mbele na salini pamoja kabla ya kulala.
4.Gari/ unataka la bei chee? vizia minada ya TRA,magari bomba kibao huko.
5.Umeongelea mahali pa kupeleka 'viota'?you mean gesti? sijaelewa hapo.
......itaendelea,ngoja nizidi ku resechi......
Bado ipo halafu jana niliona tangazo la TRA kwenye gazeti la Daily News kuhusiana na magari ambayo yame overstay kwenye Customs Bonded Warehouses yatapigwa bei muda si mrefu wenye nayo wasipoyakomboa in 30 days.Mkuu, tumekupata.
Cassandra wako pia na pale karibu na JK Motors along YMCA Road nadhani ni Upanga Road ile. Ila kuwa makini bana. Wadada wanajaribu bra nk (LOL) halafu zisipowatosha wanavua na kujaribu nyingine hadi wapate. Zinaingia tena dukani. Habari ndo hiyo.
Kama una $ 200 unaweza ukaagiza suprises za kufa mtu online kupitia DHL. Its a good idea pia. You can even get Sex Lingelie nk.
Kwa Mchacho iko mtaa gani exactly?
Hivi ile minada ya TRA bei zake ziko vipi tena siku hizi? Nakumbuka Miaka ya nyuma nilinunua Land Rover Series 3 kwa TZS 150,000. Good idea Mkuu. Thanks.
Viota Mkuu ni mahali pa Starehe unapoweza pata Chakulka, Vinywaji, Muziki ikiwezekana hata Malazi ambapo unaweza kumtoa mwenzi wako kwa Entertainment.
Hivi wewe huchokiBado ipo halafu jana niliona tangazo la TRA kwenye gazeti la Daily News kuhusiana na magari ambayo yame overstay kwenye Customs Bonded Warehouses yatapigwa bei muda si mrefu wenye nayo wasipoyakomboa in 30 days.
Hahaha umeanza kunichokoza lolHivi wewe huchoki
ladies talk Una poster nyingi kuliko hao ladies.. mens talk dahhhh waongea kwa niaba ya wanaume wote.... hiyo lap top yako naionea huruma...lol
AD nina mdigo wangu jamani yuko humu humu tuna watoto watano,mnampa wasiwasi jamani leo hata shamba kupalilia hajaenda anataka tukae ndani tu,plz msimpe la huba wangu pressure nampenda mnoooooooo,TF ni swahiba tu.
:ranger::boink:AD nina mdigo wangu jamani yuko humu humu tuna watoto watano,mnampa wasiwasi jamani leo hata shamba kupalilia hajaenda anataka tukae ndani tu,plz msimpe la huba wangu pressure nampenda mnoooooooo,TF ni swahiba tu.
Naona wadada wako kimya tu wanapiga chaboThere are currently 8 users browsing this thread. (5 members and 3 guests)
Kina dada mnaongoza mpaka sasa hongereni