JF Men Talks . . . This and That . . . .

hahahahahahah lol
unavituko wewe dahhh
I am not number one but I'm the preferred one.
Kama huko haupapendi basi tutaenda Coco Club on Fort Lane and Suede on Symonds Street au kama unapenda live music nitakupeleka Galatos on Galatos Street
 
Kuna jamaa wapo Kinondoni nawajua huwa wanaleta nguo za kiume na kidogo za kike kutoka Nairobi, unajua Nairobi wana nguo nzuri sana na viatu and at a very reasonable price

Mkuu naenda NRB once a while na bado sijawa mzoefu sana. Ila Bata shoes pia wana simple and good shoes at low cost.

Wana sehemu NRB wanaita Mnadani imekaa na vitu vingi just like Kariakoo
 
Mambo haya ukweli yanategemea sana na kipato,binafsi nashauri yafuatayo:
1. Shopping ya kum surprise mama kama unazo nenda cassandra pale mikocheni kwa Nyerere ,wana lingerie nzuri.
2. Kama kipato chako cha wastani outing na mama na watoto nenda kariakoo kwa muchacho wanapika kuku watamu ni hatari,nasikia siku hizi wamefungua branch Upanga mtaa wa mfaume.
3.Kuepuka vimada kama wewe mwislam sali mara 5 kwa siku na mfukoni tembea na msahafu,kama mkristo okoka, jiunge na kwaya kwa kwenda mbele na salini pamoja kabla ya kulala.
4.Gari/ unataka la bei chee? vizia minada ya TRA,magari bomba kibao huko.
5.Umeongelea mahali pa kupeleka 'viota'?you mean gesti? sijaelewa hapo.
......itaendelea,ngoja nizidi ku resechi......
 
Kuna jamaa wapo Kinondoni nawajua huwa wanaleta nguo za kiume na kidogo za kike kutoka Nairobi, unajua Nairobi wana nguo nzuri sana na viatu and at a very reasonable price
<br />
<br />
Nielekeze Nairobi sehemu gani nakwenda huko next week
 
Superman sikumbuki jina la mtaa vizuri ila nafikiri ni maeneo ya Samora kuna duka la Clarks pia na wao wanabei
 
Mambo haya ukweli yanategemea sana na kipato,binafsi nashauri yafuatayo:
1. Shopping ya kum surprise mama kama unazo nenda cassandra pale mikocheni kwa Nyerere ,wana lingerie nzuri.
2. Kama kipato chako cha wastani outing na mama na watoto nenda kariakoo kwa muchacho wanapika kuku watamu ni hatari,nasikia siku hizi wamefungua branch Upanga mtaa wa mfaume.
3.Kuepuka vimada kama wewe mwislam sali mara 5 kwa siku na mfukoni tembea na msahafu,kama mkristo okoka, jiunge na kwaya kwa kwenda mbele na salini pamoja kabla ya kulala.
4.Gari/ unataka la bei chee? vizia minada ya TRA,magari bomba kibao huko.
5.Umeongelea mahali pa kupeleka 'viota'?you mean gesti? sijaelewa hapo.
......itaendelea,ngoja nizidi ku resechi......
Aisee umenikumbusha kuku wa kwa Edo msasani
 
Mkuu pale JM MALL Harbour View Suites pazuri sana

Nimekusoma Mkuu. Nakubaliana nawe 100%. Saa zilizoenda shule pia utazipata pale. Dhahaabu na Vidani kwa wapendwa wetu pia vinapatikana.
 
SL na TF tuambieni Maduka basi na Mitaaa . . .
Kinondoni Morocco kama unaelekea Kariakoo kabla haujafika viwanja vya Biafra mkono wako wa kushoto kuna frame ndio hao jamaa wako hapo wanaduka pia Mikocheni kwa Mwalimu karibia na petrol station ya BP
 
Bishanga namba 3 na 4 nimecheka mpaka machozi yamenitoka!!...
Mambo haya ukweli yanategemea sana na kipato,binafsi nashauri yafuatayo:
1. Shopping ya kum surprise mama kama unazo nenda cassandra pale mikocheni kwa Nyerere ,wana lingerie nzuri.
2. Kama kipato chako cha wastani outing na mama na watoto nenda kariakoo kwa muchacho wanapika kuku watamu ni hatari,nasikia siku hizi wamefungua branch Upanga mtaa wa mfaume.
3.Kuepuka vimada kama wewe mwislam sali mara 5 kwa siku na mfukoni tembea na msahafu,kama mkristo okoka, jiunge na kwaya kwa kwenda mbele na salini pamoja kabla ya kulala.
4.Gari/ unataka la bei chee? vizia minada ya TRA,magari bomba kibao huko.
5.Umeongelea mahali pa kupeleka 'viota'?you mean gesti? sijaelewa hapo.
......itaendelea,ngoja nizidi ku resechi......
 
Sasa twende The Paddington pale St George's Bay Road au lets head to Lime on Ponsonby, Club 4:20 on Karangahape

Haaa haaa Mkuu, unanikumbusha mambo ya Hallords Londoni. Perfume Pounds 500

Saa Pounds hadi 30,000.

Ni Balaaa. Duka la macelebrity wa dunia.

Ila ukitaka vitu simple vya kuleta zawadi home, mambo yote Oxford Street . . . LOL
 
hahahahah lol
daahhh nilidhani superman anasaidiaga watu
na si kuwa pokuokoa hahahahahahha lol
haya ngoja niache kukuchafulia thread ussije ukatua kwenye vigae vyangu bure lol

Thats True nasaidiua pia . . . si unaona na thread hii pia? LOL
 
Haaa haaa Mkuu, unanikumbusha mambo ya Hallords Londoni. Perfume Pounds 500

Saa Pounds hadi 30,000.

Ni Balaaa. Duka la macelebrity wa dunia.

Ila ukitaka vitu simple vya kuleta zawadi home, mambo yote Oxford Street . . . LOL
Hapa Superman inabidi tumtumie Gaga kama c/o wetu au unasemaje maana yeye kule Clarendon hawezi kukosa vitu vya maana lol
 
SL na TF tuambieni Maduka basi na Mitaaa . . .
Mimi huwa nna jamaa zangu huwa wanaenda huko ( kikombaa) then wanatuletea ofisini, huwa wanaleta kwa oda wanasambaza kwa waliowaagiza, sina hakika hasa maduka yao yako sehem gani, nitauliza afu ntakujulisha. Ni vitu vya ukweli sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom