afrodenzi
Platinum Member
- Nov 1, 2010
- 18,145
- 9,207
Aisee!! Namba 1 nilitaka nikwambie jana nikastuka nikakaa kimya kumbe imesaidia
hahahaah lol
bado na mahasira ya Bin Laden naomba usiniongeazee uchungu hahahhaahh lol
Aisee!! Namba 1 nilitaka nikwambie jana nikastuka nikakaa kimya kumbe imesaidia
Jamani . . . mara Wanawake Tunaweza Tukiwezeshwa . . .
Mara . . For every Successful Man, there is a Woman behind etc etc
Which is which now?
I hope wewe si Mwanajeshi maana Wanaume Mabwege bado wapo . . .
Look bana, uzuri wa Mwanamke Ni tabia. Si uzuri wa umbo wala uzuri wa sura.
Good Stuff Superman, hayo maduka ya Rozana Samora na lile la pale opposite na Mavuno bei ziko chini tofauti na lile la Mlimani CityMkuu next time ukitaka kwenda ni PM.
Namjua mtoto wa Owner ambaye ni msimamizi. Kuna vidiscount fulani vya kishikaji viko poa.
Halafu pia kuna duka karibu na Rozana samora na lile opposite Mavuno House. Liko poa pia.
Nisaidie namba 8 basi lol!!!hahahaah lol
bado na mahasira ya Bin Laden naomba usiniongeazee uchungu hahahhaahh lol
Aisee!! Namba 1 nilitaka nikwambie jana nikastuka nikakaa kimya kumbe imesaidia
Ni kweli kabisa si unamwona Superman anavyokaukia kucheka??
Wananishangaza sana sijui wote huwa wanaenda huko huko kufanya nini kuleta sample zile zile Kinondoni ukiingia maduka yanayouza nguo za kike ukienda maduka mawili au matatu you will find the same outfitMkuu, hawa Wadada Boutique zao nzuri I think ni IPS, Mkapa Towers. Shida ni bei tu Mkuu. Budget ya maana ya kumsuprise Kimwana ianzie kama laki 2. otherwise piga Mguu Kinondoni au Kariakoo unaweza kupata nice stuff.
Kinondoni poa ila wengi wanafanya selection za Hong Kong na Mitumba haalafu wanaweka what they think ni good quality. Same to Kariakoo.
So, we better be careful.
si mniulize mm karume pale namchukulia Mr boxer,vest shirt na suruali kwa jero?mbn anatoka pamba tu?mpaka mkamuone mtoto wa owner ya nn yote hayo?
una huyu na huyu Jibu la number 8 hilo unataka number gani tena nikusaidie chop chop hahahahahha lolNisaidie namba 8 basi lol!!!
Unapenda sana kunionea lol
Tumewawezesha kwa Title ya Thread . . . Sasa Mnaweza . . . haaaa haaa. Ila msitoane macho na kuweni wapole.