JF members wenye kingereza kizuri

wiseboy.

JF-Expert Member
Aug 11, 2014
2,932
4,534
Ifuatayo ni idadi ya wana JamiiForums wenye English nzuri na karibia wote hakuna hata mmoja ambaye ni made in Lumumba.
1.Rutashubanyuma
2.Kiranga
3.Nyani ngabu
4.My Son drink water
5.Mshana Jr
Hiyo list wana uwezo hata wa kuhutubia bunge la Congress bila kusoma popote,na wewe unaweza kuongezea idadi.
,
 
Ifuatayo ni idadi ya wana Jamiiforums wenye English nzuri na karibia wote hakuna hata mmoja ambaye ni made in Lumumba.

Kwa nini wewe umejisahau?
 
Bonge la mshamba na utoto i can tel your IQ is very low...yani English ndio umeona la kuongelea hapa....do sijui tutafika tuendako kama wa tz ndio hawa wanao thamini lugha za watu zao wanaona hazina maana....ina lillah wa ina ilah rajiun
 
Jiwe na yeye ni jf member mbona hujamuweka??
 
Bonge la mshamba na utoto i can tel your IQ is very low...yani English ndio umeona la kuongelea hapa....do sijui tutafika tuendako kama wa tz ndio hawa wanao thamini lugha za watu zao wanaona hazina maana....ina lillah wa ina ilah rajiun
Uwe unaheshimu mawazo ya watu bila kuwakashifu ungeandika kwa lugha moja ungeeleweka zaidi wewe umeandika hiyo comment yako kwa lugha 3 kiingereza,kiarabu na kiswahili
 
Ifuatayo ni idadi ya wana Jamiiforums wenye English nzuri na karibia wote hakuna hata mmoja ambaye ni made in Lumumba.
1.Rutashubanyuma
2.Kiranga
3.Nyani ngabu
4.My Son drink water
5.Mshana Jr
Hiyo list wana uwezo hata wa kuhutubia bunge la Congress bila kusoma popote,na wewe unaweza kuongezea idadi.
,
What a compliment...! Thanks all the way.... Am humbled....!!!!
 
Bonge la mshamba na utoto i can tel your IQ is very low...yani English ndio umeona la kuongelea hapa....do sijui tutafika tuendako kama wa tz ndio hawa wanao thamini lugha za watu zao wanaona hazina maana....ina lillah wa ina ilah rajiun
Sasa kwanini hujalala na umefungua uzi wa mshamba na tena mwenye low IQ ili uchangie? Wewe mwenye High IQ wala usingefungua huu uzi wa mtu mwenye low IQ na bado ukachangia,aisee tuna safari ndefu sana bado.
 
But I just can't don't know why is dominating almost 90 percent of the world...!!!
The answer is very simple brother.England/Great Britain inluence over sees went hand in hand with spreading of his language in order that he could have easy mean of colonizing its colonies

And it's well known that England has had inluence over 90% territories in the whole world and there English became most influential languge over other languages on the universe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom