Jf members wanao penda ku-flirt PM

Una bahati msuba wangu umeshuka
ningekunyang'anya hiyo gun sasa hivi
kwa nini nisimjibie wakati twalala kitanda kimoja
afu wewe una bahati leo hasira ziko mbali

Usipata tabu, keshanihakikishia wewe ni dada wa hiari, hunidhuru mie

Hao wengine wanadata na ustaa wake basi hawampi pumzi.
Ndo nimejua kwa nini mahusiano ya mastaa hayadumu, full vishawishi

mie am the very agressive one, nilimkimbiza yule binti na panga, hawezi rudi tena.

Haya naomba updates... Whats it to do with Mpoleee, nimeingia nikaangalia thread but nimepanga kuisoma badae... And The Boss never loses his cool...
 
ha ha ha, nimependa uapaji wako.
Msuba juu juu zaidi

nakugongea LIKE

Kaka,nisamehe bure,kiswahili kimenichenga. Namaanisha 'they don't flirt with me'
Najua utabisha bt I swear upon my new xmas clothes, za maukwelii!
 
Kaka,nisamehe bure,kiswahili kimenichenga. Namaanisha 'they don't flirt with me'
Najua utabisha bt I swear upon my new xmas clothes, za maukwelii!

Sitabisha, hapo uko right, kwamba status quo itaendelea, hapo nitabisha..ninmekumisije? halafu Xmas clothes nani kakuruhusu kufungua?
 
Hehehe, bibi weye karibia mateka atakutoroka. Bhange haiendani na ugali wa mchicha, unadata tartiiibu! Mie simo, utaniona hivi hivi mjini hapa najivinjari. Hahaha,kazi ni kwako. I lov watching u loose it, don't shoot,lol
Una bahati msuba wangu umeshuka
ningekunyang'anya hiyo gun sasa hivi
kwa nini nisimjibie wakati twalala kitanda kimoja
afu wewe una bahati leo hasira ziko mbali
 
Ha ha ha, atakutupia bia afu akalake hotel badala ya kulala kwako.
Unalo!
Ha hahaha! Nnalo sio kidogo shostito.....anitupie tu biya ila juice waloleta majirani zangu aiache kama ilivyo...lol..

Ila kaka Kaizer ananipenda hivyo naamin atantetea.
 
Nguvu za Fynest muulize mpolee
she hates that she love him
hadi akajua sio mkamilifu

sasa usujiapize hawezi
watu wazima waone hivi hivi wana mambo!!!

hahahaha....dogo hawezi yule lazma kuna 'nguvu ya ziada' nyuma ya pazia
 
Nguvu za Fynest muulize mpolee
she hates that she love him

hadi akajua sio mkamilifu

sasa usujiapize hawezi
watu wazima waone hivi hivi wana mambo!!!

My bad...I guess I missed that
 
Lol, I was worried hautonielewa kaka.
Missed u too, been a bad gal kiduchu bt wifi najua atanielewa tu. Sijafungua package ya xmas,bt from the brand nilihisi tu ni xmas clothes,lol
Sitabisha, hapo uko right, kwamba status quo itaendelea, hapo nitabisha..ninmekumisije? halafu Xmas clothes nani kakuruhusu kufungua?
 
Wifi yangu I miss u too. Mie watu wanaogombana na wifi zao nawashangaaga,kha! Inabidi twende pm kidogo, ngoja nimalizane na kaka yako hapa,lol!
Nisije nikawa kongosho kumuacha baba wa watu ajisugue mgongo mwenyewe.
 
Lol, I was worried hautonielewa kaka.
Missed u too, been a bad gal kiduchu bt wifi najua atanielewa tu. Sijafungua package ya xmas,bt from the brand nilihisi tu ni xmas clothes,lol

:shock: nitakunyang'anya hiyo bunduki manake uwezo ninao, afu tabia ya kujudge a bood from its cover....
kesho naomba unijoin apo mlimani city ninaandamana kumtaka Mkuu asisaini posho za 330,000/= hadi kieleweke....tukishakunywa juice magogoni nitaenda kukumalizia shopping ya Xmas maana naona una hamu nayo sana...sawa?
 
Wifi yangu I miss u too. Mie watu wanaogombana na wifi zao nawashangaaga,kha! Inabidi twende pm kidogo, ngoja nimalizane na kaka yako hapa,lol!
Nisije nikawa kongosho kumuacha baba wa watu ajisugue mgongo mwenyewe.

:lol::car::car:
 
As you say ni kheri sisi tusio pata. Nakumbuka kuna thread Lizzy alianza, ya kuuliza utaratibu wa ku-ignore maana kuna mtu alimweka kwenye ignore list ila jamaa akawa anaendelea ku-PM

Kwakweli kwa hili halinihuu nafurahi kumbe kuna mambo humu eeehhh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…