Jf members wanao penda ku-flirt PM

Katongoze kwa amani
Kwanza hiyo inakuhakikishia wewe ni mkamilifu
Fanya 2 * 3 kwa maisha yako yote
Inapunguza mafua ya asubuhi, hasira za mchana, kuumwa kichwa jioni
Usisubiri hadi uandikiwe na sakatrik
lol!haya prezda wangu
 

hahaha Teacher .. i like your style! u remind me of evidence based medicine..!! watakuelewa tu!... :biggrin:

Lol....

Mimi awali nilidhani "natakiwa na Uongozi wa JF" kuelewa 'madhara' behind matumizi ya PM :]

Ikabidi nihakikishe kwa kuuliza "natakiwa na nani?" 😀
 
Cantalisia: Jaribu kufuta PM zako maana naona zimejaa!

kloro: Acha kutuma PM kwa "nanii" - nimekusaidia kuzifuta zile ulizotuma jana!

Gaijin: Kumbe mara ya mwisho wewe kutuma PM ilikuwa Jan 2010?

Lizzy: Naona umefuta PM zako zote baada ya RR kupost hii thread!
 

Baba Enock unatishaa!

Afadhali tu kwa kuweka majina kapuni. Doh!
 
Lol.....si nshakujibu kwenye PM drling!! Unataka niweke hadharani kongosho na ze Finest watuige?
Niko katika mkakati wa kuliwekea penzi letu Copyright, nimegundua hata Kaizer na Ashadii wanakopi kwetu. Tuwashtaki?
 
khaa ina mana mpaka sasa hawajajipendekeza?
 
Mimi PM zangu ni kutoa taarifa za misiba tu. Kama leo kuna msiba unamuhusu sana mwalim gaijin lakini mpaka muda huu hana taarifa
 
Baba _Enock km ulivyoona zile ni za leo tu,
Ni taaarifa za makongamano na mimkutano ya dini iliyofanyika wiki end hii,
Na nimeshazipitia na kuzijbu zote na tayari nimeshafuta,
Km umeshapa taarifa ya lile tamasha la Ambassodos Of Christ la mwanza tafadhali ni mp na picha ikiwezekana.
 
Mimi PM zangu ni kutoa taarifa za misiba tu. Kama leo kuna msiba unamuhusu sana mwalim gaijin lakini mpaka muda huu hana taarifa

Wewe nasikia kwa vile hutakiwa watu wajue kama "unaweza kuona PM zao" ukitaka kuwaambia kitu, unatumia ufundi wanadhani wamejitumia email wao wenyewe!

Hutaki kujikweza hata kidogo :]]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…