JF members mnaokaa Kivule tujuane, tutatue matatizo yetu

Serikali iwe serious na hao watu jamani khaa!!
yna2, wanasemaga hakuna kitu kigumu kupambana nacho kwa kutumia nguvu za dola kama IMANI. Hawa ndugu zetu shule ndio inaweza kuwa mkombozi wao zaidi ya nguvu ya risasi na virungu
 
Nimekumbuka pale kivule kuna hotel inaitwa muungano sijui ni hotel au bar ina swimming pool kuna yeyote anaifaham
 
Back
Top Bottom