Hiyo ni ijumaa au jumamosi?Powa powa bhasi tukutaneni hanam pale, muda gani
Saa moja kamili jioni. Au unaonaje?Jumamosi pangeni muda
Mbona gizani hamtaki tuonane vizuri, lakini freeshSaa moja kamili jioni. Au unaonaje?
Wewe pia unaruhusiwa kutoa mapendekezo yakoMbona gizani hamtaki tuonane vizuri, lakini freesh
Kitunda ipi mkuu? Shule?Kitunda. Tarime's overseas territory
Wakurya wachache tofauti na KivuleKitunda. Tarime's overseas territory
Nitajitahidi kama nitapata mudaMbona gizani hamtaki tuonane vizuri, lakini freesh
Poa
hahahaaaa umenichekesha sana. Kumbe unazijua mpaka hiziHivi kwanini "nyankibatari" haziishi huko kivule? Serikali uko haipo au?
umezijuaje?Hivi kwanini "nyankibatari" haziishi huko kivule? Serikali uko haipo au?
Nazijua vizuri Sanahahahaaaa umenichekesha sana. Kumbe unazijua mpaka hizi
Wacha wee!last DEC zilikuepo balaaaNazijua vizuri Sana
Kuna kipindi nilienda mtembelea anko wangu huko kivule..nikaona wanaenda fanya hayo Mambo tena si Mara moja.umezijuaje?
Wakurya huwa ni wagumu sana kuacha tamaduni zao ingawaserukali bado inapambana kuwaelimisha kuwa hizi mila ni potofuNazijua vizuri Sana
Huko mahala pake na m'bande kisewe piaWacha wee!last DEC zilikuepo balaaa
Siku ya Kwanza naona nilishangaa nilijua haya Mambo yapo huko kwao musoma kumbe hata dar wanayafanya Tena bila woga..cheeiiWakurya huwa ni wagumu sana kuacha tamaduni zao ingawaserukali bado inapambana kuwaelimisha kuwa hizi mila ni potofu