JF members mnaokaa Kivule tujuane, tutatue matatizo yetu

Watu wa kivule naombeni connection ya mtu anayechukua mayai ya kizungu kwa wingi kama tray 2000 na kuendelea.
Anipe connection ya mfugaji.
Kwa ufupi naombeni connection ya mayai kutoka shamba sitaki kununua hapo banana.
 
Unataka kununua au kuuza mayai?
 
Kuna siku moja nilikuwa ninaenda Mbagala huko Kilungule sasa nikaona ni bora nipite shortcut ya hapo dampo mlimani. eebwana eeh, bado kidogo gari igome brakes nirudi reverse. hakika Mungu ni mwema.
Karibu miaka 20 nimekuwa napita hapo, Sasa hivi mkandarasi yuko site mambo yatakuwa moto, juzi jumapili nimepita pia pamechongwa vizuri saaana.Jumapili naenda uko pia nitakupigia picha uzione.
 
Ina maana watoto wanaozaliwa kivile wanakeketwa?
DSM hii hii mjini?
Jirani yangu Mama yake alikuwa Bingwa wa haya mambo Wakuria wote wanamfahamu, alikuwa analetewa watoto hapo nyumbani kama kambi, bahati mbaya yule Bibi alifariki.
 
Jirani yangu Mama yake alikuwa Bingwa wa haya mambo Wakuria wote wanamfahamu, alikuwa analetewa watoto hapo nyumbani kama kambi, bahati mbaya yule Bibi alifariki.
Hapo ni kivule eti?
Kiukweli mambo yako tofauti kuliko nilovypfikiria.
 
13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom