JF members mhudhurie ndoa yangu...

thanks 100 times for this post hasa uliponiita kwa jina langu (usishangae hata kidogo)
Kuna mtu kaniPM KANIONESHA DHARAU flani sasa nakosa connection.
Ila sio siri kuolewa kwa siku hizi ni jambo la heri nampongeza huyo dada.
Pole dada!
Labda ankuja ametaka akuharibie siku!
Katika kanuni za furaha moja wapo ni kucheka....haya cheka kidogo.
Usijali utapewa raha tu!.
Kwani nawe zipi sifa uzipendazo za atekua wa ubavu wako?
Lol.
 
Du maalim, mi nilipoona mwaliko nikaagiza ndizi, sasa kumbe zitaharibika pilau haijulikani ni lini!
Teh teh teh! Umenkumbusha mahala fulani hata maji wanajinunulia.
Usiwe shaka...hapo usije na chakula wala kinywaji...vyoote utavikuta...anza mazoezi ya heavy lifting...ili hiyo siku u......hadi ufurahie hyo siku.
Usikose jamani!.
 
Ha ha ha Genekai hujanywa dawa ya Babu maana ukinywa ile dawa no bia, no wine, no whisky no pombe at all milele.

Duuh kumbe! Sijui itakuwaje kwa wale waheshimiwa maana wanavyopenda viti virefu! By the way hongera Ustaadh hivi ndio unaanza au unakamilisha ile idadi? Mimi ningependekeza kama mambo si mazuri sana subiri mwezi wa Ramadhani mchana. Kama jioni basi utaandaa futari tu! Si unajua hapo itakuwa Uji, magimbi, Viazi n.k Hahahaaaaaa Hongera sana!
 
Duuh kumbe! Sijui itakuwaje kwa wale waheshimiwa maana wanavyopenda viti virefu! By the way hongera **

**Ustaadh hivi ndio unaanza au unakamilisha ile idadi?** Mimi ningependekeza kama mambo si mazuri sana subiri mwezi wa Ramadhani mchana. Kama jioni basi utaandaa futari tu! Si unajua hapo itakuwa Uji, magimbi, Viazi n.k Hahahaaaaaa Hongera sana!
Haaaaaa!
Mbona unahukum mambo hujayajua!
Kwangu hakuna kubana budget....we uje na mpenzi wako....tena usikose member!
Ila umeniacha hoi hapo kwenye nyota!!
 
Mkuu umenifurahisha kweli!! Kuna mmoja aliniletea card ya mchango yenye kiwango cha kuchangia! Nikamuuliza 'yaani mpendane nyie halafu muwatwange fine wengine?' Jamaa kila akiniona huwa anacheka sana japo wakati ule hakunielewa!

lol... nimecheka sana
 
Hongera sana ustadhi, hope nta manage kufika kwenye huo mnuso, tarehe na mahala husika mkuu, fanya hima tuje kwenye ubwabwa..,
 
Hongera sana ustadhi, hope nta manage kufika kwenye huo mnuso, tarehe na mahala husika mkuu, fanya hima tuje kwenye ubwabwa..,
Usijali member!
Ndio naongeza juhudi....tarehe na mwezi ntaweka humu humu!
Ufike usikose!.
 
Back
Top Bottom