Jf members,i need your prayers

jockey emmanuel

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
330
50
:happy:HALOO....SOON IM GOING TO START MY TERMINAL EXAMS....JF MEMBERS I NEED UR PRAYERS....KAMA TUNAVYOFURAHIA KUTOK ABT DIFFERENT THINGS IN JF...BASI TUFURAHIE MAFANIKIO YANGU AMBAYO YATATOKANA NA SALA ZENU....MATOKEO YATATOKA TRH 4 JUNI....
 
Kila la Kheri, Jambo la msingi usipanic maana watu wengi hushindwa mitihani Just kwa kupanic anapokuwa amekabidhiwa paper, read all the questions careful and start with easiest one
 
ah ah ah exam fever eeh pole sana dogo,lkn imeandikwa"ombeni nanyi mtapewa,tafuteni nanyi mtaona,bisheni nanyi mtafunguliwa"pia wanaendeleza,"ishike sana elimu usiache iende zake"na huu hapa "usipende usingizi usije ukawa maskini"nadhani umenielewa mdogo wangu,upo kwenye maombi yetu maana tunaombea nchi yetu pamoja na wananchi wake lkn pia kaza buti usitegemee tu sala kufanya mabadiliko lkn na ww pigania maisha yako,
Ngoja niishie hapa usijesema sista mnoko bureeeeeeeeee!
Nakuombea lkn
 
Pamoja na sala zangu lakini napenda nikuonye kuwa kamwe usitumie vi-phantom... no kudesa please
 
:happy:HALOO....SOON IM GOING TO START MY TERMINAL EXAMS....JF MEMBERS I NEED UR PRAYERS....KAMA TUNAVYOFURAHIA KUTOK ABT DIFFERENT THINGS IN JF...BASI TUFURAHIE MAFANIKIO YANGU AMBAYO YATATOKANA NA SALA ZENU....MATOKEO YATATOKA TRH 4 JUNI....

Hapo hapana... mafanikio yako yatatokana na Juhudi zako binafsi, yaani ulijiandaa vyema? ......
 
nadhani ufanye bidii sana katika kujiandaa na pia maandiko yanasema ' Nitawafanya kichwa na wala si mkia' so jiandae vizuri na sali sana........tutakuwa pamoja katika maombi
 
Kasome kwanza, kisha tutakuweka kwenye sala zetu. Sala pekee hazitokusaidia,...
 
nadhani ufanye bidii sana katika kujiandaa na pia maandiko yanasema ' Nitawafanya kichwa na wala si mkia' so jiandae vizuri na sali sana........tutakuwa pamoja katika maombi
Kumbe huwa una'tune RADIO SAFINA kwenye bajaji yako eeh?...hongera best!

Mtahiniwa, tuko pamoja tunakuombea, lakini kesha ukisoma na kukariri pale utakapokosa kuelewa(hii ni Bongo bana)!..ha ha haaa!
 
Back
Top Bottom