Teamo
JF-Expert Member
- Jan 9, 2009
- 12,271
- 1,065
he he he he!Hahaha! Kijana taratibu. Mzee bado sija sign out! Ohoooo!
ati listi asubiri uondoke
he he he he!Hahaha! Kijana taratibu. Mzee bado sija sign out! Ohoooo!
poa my dear!gud evening!I missed you too ZD. Mambo vipi?
Nilitaka nikuwekee senksi lakini nikasita.mwenzenu kiblurei hiki kigumu.
Jamani bht upo wapi? nisaidie mwenzio.
najuuuuuuuuuuuuuuuuta kukualika na kukufahamu shishi!
he he he he!
ati listi asubiri uondoke
ni kweli!lakini kijana walau avute subira UONDOKE!dhen aanze ufisadi wa mapenziHahaha! Kila abiria achunge mzigo wake!
am here ila sioni tatizo kwa shishi only bioz ov zat vote ya 'ukwe' hiyo ndo ilinitoa wasi wasi.
sasa basi swali linakuja ukwe kwa nani????????????
ni kweli!lakini kijana walau avute subira UONDOKE!dhen aanze ufisadi wa mapenzi
hilo ndo litaondosha dauts kwa kiwango fulani....haya jibu shemeji....usikute una kazi ya nje samwea ....!!![/size]
hilo nalo bado linatia wivu?
hilo ndo litaondosha dauts kwa kiwango fulani....haya jibu shemeji....usikute una kazi ya nje samwea ....!!!
HEHEHE!Hahaha! Thats the Chief Security Officer of WapwaaaZ! Umekula SENKSI hapo ujue!
Kudumisha Mila si kumo?
hili la kudumisha mila binafsi limenijengea heshima na umaarufu mkubwa sana kijijini kwetu!😀Kudumisha Mila si kumo?
HEHEHE!
altimeti sekyuriti wa wapwaaaz!ngoja nimuwahi kaizer.
btw:unajua ni lazima tuongee FIZIKALI nyumbani kwako probably
hili la kudumisha mila binafsi limenijengea heshima na umaarufu mkubwa sana kijijini kwetu!😀
Tayari. Subiri kidogooz!
Hahaha! Mi simo!
Thread nzuri sana hii,nashauri kama vipi tungeweka categories mfano:
1.Mchangiaji Bora wa Jukwaa la Siasa
2.Mchangiaji Bora wa Jukwaa la Kimataifa
3.Mchangiaji Bora wa Jukwaa la Michezo na Burudani
4.Mchangiaji Bora wa Jukwaa la Mambo ya Kikubwa n.k
-Pia mchangiaji anayeongoza kwa Post na thread nyingi(Mzee Mwanakijiji) apewe tuzo..Pia awepo Overall member of the year..
-BTW,Mkuu Invisible;hivi ile Tuzo ya JF Member of the Month iliishia wapi??
-Nguli kama vp uweke sehemu tupige kura ili kumpata huyo JF Member of the year
-Thread nzuri sana hii mkuu...Pamo jah

Nadhani nguli kaziona. Tatu hizo. Na SENKSI nimekugongea. Kathibitishe. Leo mtakula Senksi zangu mpaka mvimbiwe! Ila hiyo red ningepata ufafanuzi kidogo ningekutwanga nyingine 2 pamoja na ya kusikiliza ombi langu kuhusu avatar!