JF Member of The Year is...

JF Member of The Year is...

Huu mwaka unaishia kuna watu wamenifurahisha sana kwa comment zao motomoto na sisiti kuwataja hapa na kama wewe una wako unaweza toa ila tutaangalia aliyetajwa zaidi na tutamtunuku JF MAN OF THE YEAR.

1. Chrispin
2. Kloroquin
3. Maxshimba
4. Bluray
5. Kibunango
6. Dark City
7. Katavi
8. Burn na Radical-mashairi yenu mazuri sana.
9. Masanilo
10. The boss- mutu ya vitabu mingi
11. Invisible
12. Sipo
Karibuni.

Vipi kuhusu Kibunango??? [/QUOTE]

Astaghafirulllah!
We Mkuu Balantanda..
Mswalie nanihii!!!...
Huyu ni muumin mzuri bana!

Mimi ninashukuru sijachaguliwa ila mimi kazi yangu nawangojea Wageni wapya niwape Masharti ya humu ndani ya JF naona Rafiki yangu PakaJimmy umenishau!!!!!!!
 
Dr. Cahapa Kiuono.
Mshiri
Field Marshal\
Next Level
 
Geoff, Burn, Sipo, Fidel80/express y self,Masanilo,Nguli,Carmel &shishi.
 
naona watu mnanibaniaaaaa kwenye list zenu sipo, Loh.
wacha nijilist mie mwenyewe hapa, waswahili wanasema raha jipe mwenyewe ati!!.

GEORGE_PORJIE
GEORGE_PORJIE
GEORGE_PORJIE
GEORGE_PORJIE
GEORGE_PORJIE
GEORGE_PORJIE
GEORGE_PORJIE
GEORGE_PORJIE
GEORGE_PORJIE
GEORGE_PORJIE
GEORGE_PORJIE
GEORGE_PORJIE
GEORGE_PORJIE
GEORGE_PORJIE
GEORGE_PORJIE
GEORGE_PORJIE
GEORGE_PORJIE
GEORGE_PORJIE
GEORGE_PORJIE
GEORGE_PORJIE
GEORGE_PORJIE
GEORGE_PORJIE
GEORGE_PORJIE
GEORGE_PORJIE
GEORGE_PORJIE
GEORGE_PORJIE
GEORGE_PORJIE
GEORGE_PORJIE
GEORGE_PORJIE
GEORGE_PORJIE
GEORGE_PORJIE
GEORGE_PORJIE
GEORGE_PORJIE
 
naona watu mnanibaniaaaaa kwenye list zenu sipo, Loh.
wacha nijilist mie mwenyewe hapa, waswahili wanasema raha jipe mwenyewe ati!!.

GEORGE_PORJIE
GEORGE_PORJIE
GEORGE_PORJIE
GEORGE_PORJIE
GEORGE_PORJIE
GEORGE_PORJIE
GEORGE_PORJIE
GEORGE_PORJIE
GEORGE_PORJIE
GEORGE_PORJIE
GEORGE_PORJIE
GEORGE_PORJIE
GEORGE_PORJIE
GEORGE_PORJIE
GEORGE_PORJIE
GEORGE_PORJIE
GEORGE_PORJIE
GEORGE_PORJIE
GEORGE_PORJIE
GEORGE_PORJIE
GEORGE_PORJIE
GEORGE_PORJIE
GEORGE_PORJIE
GEORGE_PORJIE
GEORGE_PORJIE
GEORGE_PORJIE
GEORGE_PORJIE
GEORGE_PORJIE
GEORGE_PORJIE
GEORGE_PORJIE
GEORGE_PORJIE
GEORGE_PORJIE
GEORGE_PORJIE
unafaa sana wewe!
watu hawajui tu.🙂
 
mimi pia jamani, upo sawa wangu? ahh usijali mods wamepumzika nenda ofu pointi hadi mwenyewe uchoke.
wakiamka nishtue....nipo wangu asbh nilichungulia shairi kuleee
 
Back
Top Bottom